Will Smith azuiwa kuhudhuria Sherehe za Oscars kwa miaka 10

Will Smith azuiwa kuhudhuria Sherehe za Oscars kwa miaka 10

Chris Rock did nothing wrong na hata kama alikosea the reaction toka kwa Smith ilikua unnecessary. Sasa imagine kama Chris Rock angeamua kumshitaki mwamba kwa kumchapa kibao ndio angemaliza kabisa career ya Smith.
Angemmaliza carrier take we Jamaa acha kukuza vitu basi.kama jambo like lingekuwa kubwa kihivyo basi siku hiyo hata hiyo Smith asingepewa TU na au angenyang'anywa baada ya kupewa.
Kama Si hivyo wangemtoa Kwa nguvu kwenye Ile hafla Kwa kutumia stewards walioko pale kwenye hafla.

Unakuza mambo utafikiri wewe ndo unajua sana mambo hayo kumbe empty TU.
 
Sawa mkuu.

Atashiriki Tanzania Music awards ambazo ni maarufu kuliko Oscar

Kuna watu mpaka unawashangaa
Hivi hajui picha linalitangazwa ushindi ndio kwenye box office wanapiga hela za uhakika
Sasa sijui movie gani imetangazwa ya kwetu ikanunuliwa dunia nzima?
 
acha ufala basi.Kama ana public pussy kagonge na wewe basi.

Kama ana public pussy tuoneshe hiyo pussy hapa.au kama na video yoyote.Huu upimbi uko Bongo TU. Unashadidia vitu hata usivyona uhakika navyo kama ndo wewe.
Mastaa kibao mambele wamepigama vibao hakuna kilichotokea.Wala hakuna kitakachotokea Kwa Willy smith
Mbona umepaniki sana?

Hiyo K yako imetumika sana kiasi kwamba unaona Jada anayofanya ni sawa...haa?

Ngoja nikuitie bashaa maana si kwa povu hili[emoji57][emoji57]
 
Angemmaliza carrier take we Jamaa acha kukuza vitu basi.kama jambo like lingekuwa kubwa kihivyo basi siku hiyo hata hiyo Smith asingepewa TU na au angenyang'anywa baada ya kupewa.
Kama Si hivyo wangemtoa Kwa nguvu kwenye Ile hafla Kwa kutumia stewards walioko pale kwenye hafla.

Unakuza mambo utafikiri wewe ndo unajua sana mambo hayo kumbe empty TU.
Sawa mjuaji mkuu nimekosa mimi, nisamehe mimi
 
Back
Top Bottom