mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Angemmaliza carrier take we Jamaa acha kukuza vitu basi.kama jambo like lingekuwa kubwa kihivyo basi siku hiyo hata hiyo Smith asingepewa TU na au angenyang'anywa baada ya kupewa.Chris Rock did nothing wrong na hata kama alikosea the reaction toka kwa Smith ilikua unnecessary. Sasa imagine kama Chris Rock angeamua kumshitaki mwamba kwa kumchapa kibao ndio angemaliza kabisa career ya Smith.
Kama Si hivyo wangemtoa Kwa nguvu kwenye Ile hafla Kwa kutumia stewards walioko pale kwenye hafla.
Unakuza mambo utafikiri wewe ndo unajua sana mambo hayo kumbe empty TU.