William Erio: Mwisho wa Enzi kwa Boss wa NSSF au Mwanzo Mpya?

William Erio: Mwisho wa Enzi kwa Boss wa NSSF au Mwanzo Mpya?

Akitaka afanye kazi vizuri ni kuhakikisha anawaondoa wote alokuja nao Erio.

Huyu amenyanyasa sana walokuwa wafanyakazi wa NSSF alowakuta, aanze na IDARA YA RASILIMALI WATU awaondoe wote walotoka PPF, then idara ya fedha.

Hizo sehemu mbili kuu za kushughulikia ipasavyo asipepese macho
 
Erio alishirikiana na Director of finance wa sasa nssf wakati ule alikua chief accountant mkulazi akitokea ppf, huyu DF ndye aliandika hundi na kuipeleks kwa Erio eti kahyarara alitaka kuiba 200m Erio akapeleka kwa JPM ndo akamtumbua Kahyarara.
Huyu bwana na timu yake ya ppf bwana Mshomba waondoke wote waende nao halmashauri
Erio kazi kubwa aliyokuwa anafanya hapo nssf ni kuhamisha staffs wa Nssf na kuwapeleka halmshaur na kuingiza staffs wa PPF kwa kuamin hawataweza kumhujum,besides hata kuondoka kwa kyaharara inasemekana ni erio alienda kupika majungu kwa mwendazake Ili aweze chukua yeye hiyo nafas kwa kutumia mgongo wa benjamin mkapa Hayati,leo pasaka anaitafunia kijiwen,mungu anatisha
 
Ex ppf wewe subiri kazi ianze erio hayupo kuwabeba, na ujue huyu aloteuliwa anajua A-Z za nssf ya Erio
Acheni majungu yasiyo na kikomo, hujui kitu, eti mwendazake ujinga mtupu. Mliyoyategemea hayajaja jiandaeni na maumivu kama kawa.Tanzania haitakaa irudi nyuma. Chuma chuma tu
 
Alikua anahonga sana serikalini hasa Ndumbaro katibu mkuu utumishi
Unasema, “...Hili alilionyesha sana kipindi ameteuliwa kwenda NSSF ambapo licha ya kuhamisha hamisha wafanyakazi lundo waliokuwa wazoefu hapo NSSF na kuwapeleka Serikali Kuu, Halimashauri n.k alihakikisha anabeba viongozi aliokuwa nao PPF na kuhamia nao wote NSSF...” Really?

Mkurugenzi wa NSSF aliwezaje kuhamisha wafanyakazi kutoka NSSF kwenda Serikali Kuu na halmashauri? Wafanyakazi wa NSSF nao wako chini ya Civil Service?
 
Namshauri DG mpya afanye staff auditing, zaidi ya hapo asafishe makao makuu na ofisi za mikoa ya dsm.
Erio ni mfitini mkubwa kaweka watu wake kuna siku atakufitini kama alivyomfanya Kahyarara.
 
Huyu mjamaa kama hakuwa na kamzizi basi alikuwa a corporate survivor wa kiwango cha juu sanam how did he survive 3 presidents kama mkurugenzi? Sidhani kama kuna mtu amekaa ukurugenzi wa mashirika nyeti kwa muda mrefu namna hii. Atusaidie kuandika kitabu cha namna gani aliweza kupona vurumai zote hizi
 
NSSF wamechezea sana fedha za wanachama hadi kuishiwa kabisa.
Walianza wizi.
Walilazimisha kanuni kuwa hata vibarua wanalipiwa "mafao ya kustaafu".
Kimsingi hii ni wizi maana kibarua ana kaa kzini sikumbili hadi wiki mbili.
"Akistaafu" fedha hii hapati asilani kulingana na urasimu wa NSSF.

TUNAOMBA WATUNGA SHRIA WAANGALIE WIZI HUU.
 
Namshauri DG mpya afanye staff auditing, zaidi ya hapo asafishe makao makuu na ofisi za mikoa ya dsm.
Erio ni mfitini mkubwa kaweka watu wake kuna siku atakufitini kama alivyomfanya Kahyarara.
Kwa Sasa Kuna Nssf Mpya(Nssf ya Kutoka ppf) na Nssf ya zamani(Hii Ni Nssf ya Dau)
 
Bwana mdogo huyu mtu kafika umri wa kustaafu,wewe njaa yako itabaki palepale

Nenda kamwambie mzee wako tunamkaribisha nyumban masasi tuendelee na kilimo chetu mama Cha korosho,

Mimi huyo awepo asiwepo haniongezei wala hanipunguzii,maisha yetu sisi wakulima tushayazoea,pia kama alikuwa anastaafu alikuwa anasubiria nin??

Basi kastaafishwa kwa lazima,mfikishie pole zetu
 
Back
Top Bottom