Mlizoea watu kutumbuliwa ndo ilikuwa furaha yenu,huyo mwendazake alitumbua wangapi na akawarejesha ,wengine si alikuwa anatumbua kufurahisha watu tu .
Siyo yeye aliye mtumbua Mataragio akamrudisha tena,si yeye alomtumbua Kichere TRA akampleka kuwa RAS badae akamchagua kuwa CAG,si yeye alomtumbua Kidata ,badae akamchagua kuwa Kidata kuwa Baloz na kumnyang'anya ubalozi ,badae akamchagua kuwa RAS...
Si yeye alimtumbua MWIGULU akamrejesha tena kwenye cabinet,sisi yeye alomtumbua SIMBACHAWENE akamrejesha tena.
Sisi yeye alomsamehe DED kahama kwa kununua gari la 400milioni.
Kuwa na kumbukumbu.