mwadilifuhalisi
New Member
- Apr 6, 2021
- 3
- 0
Ni vyema amepumzishwa kukaa miaka mingi idara moja kwa cheo kikubwa kama hicho kuna punguza mabadiliko chanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilifutwa lini?Sheria ya Mashirika imefutwa. Hivyo kwa sasa Watumishi wote wapo chini ya Utumishi. Kuhamishwa kutoka kwenye Shirika la umma kwenda Halmashauri au Serikali Kuu ni jambo la kawaida tangu awamu ya 5 iingie madarakani.
Ni matumaini yetu Mama ataangalia tena hilo eneo ili utaratibu wa zamani urejeshwe.
FAO LA KUKOSA AJIRA
Pole Sana,
Mfikishie pole zetu Erio,
That's life...
Sidhani kama ameumia. Miaka 20 sio mchezo. Mimi binafsi ningekua nishachoka. Erio lazima alikua anasubiri afikishe 60 astaafu zake maana naamini kama ni pesa kavuna zakutosha
Hili shirika Erio kaliua sana aisee. Nawasikitikia mno wana NSSF originale. Mtateseka sana mpaka muishe wote.
Nasikia hata huyo Mshomba ni kibaraka wa Erio, ni sawa na kuruka mkojo ukakanyaga mavi [emoji1787]
Hakuna mchaga mjinga na mwenye akili za kisheitwaaan
Erio anafaa kuwa mwenyekiti wa bodi ngumu ngumu namuombea apumzike kama miaka 3 hivi halafu ateuliwe kwenye hizi bodi za taasisi za umma ni mzungumza ukweli .mikiki kiki ya kiserikali na presha zake anaijua.Sjui leo atasali wapi huyu mchawi
Erio anafaa kuwa mwenyekiti wa bodi ngumu ngumu namuombea apumzike kama miaka 3 hivi halafu ateuliwe kwenye hizi bodi za taasisi za umma ni mzungumza ukweli .mikiki kiki ya kiserikali na presha zake anaijua.
Kuwa NSSF yenye zaidi ya wafanyakazi zaidi 1000 na ofisi 50 nchi nzima sio kitu kidogo.
Ukilala simu za wanachama,ukiamka kuna watu wanahitaji ufadhili wanaomba misaada.
Ukikaa kidogo kuna ofisi wateja wanataka kuandamana kisa mafao halafu shida ni mtandao wa TTCL upo chini.ukiangalia list ya waajiri walio na arreas ukiwafuata unakuta hawana biashara ukiwapeleka mahakamani mnasumbuana mahakamani mpaka hukumu itoke wafanyakazi wake washaandamana.
Ukirudi ofisini mialiko ya kiserikali hukai unatoka ukirudi mafaili makubwa ya tender na mikataba.
Jua kwanza maana ya Civil service ndio uulize swali lako?Unasema, “...Hili alilionyesha sana kipindi ameteuliwa kwenda NSSF ambapo licha ya kuhamisha hamisha wafanyakazi lundo waliokuwa wazoefu hapo NSSF na kuwapeleka Serikali Kuu, Halimashauri n.k alihakikisha anabeba viongozi aliokuwa nao PPF na kuhamia nao wote NSSF...” Really?
Mkurugenzi wa NSSF aliwezaje kuhamisha wafanyakazi kutoka NSSF kwenda Serikali Kuu na halmashauri? Wafanyakazi wa NSSF nao wako chini ya Civil Service?
Watetezi wa Legacy, wanafanya mipango ya kumfufua Jiwe kule kijijini Gambosh.Hivi unaandika hayo wewe ukiwa ktk kundi gani
Watetezi wa Legacy, wanafanya mipango ya kumfufua Jiwe kule kijijini Gambosh.Hivi unaandika hayo wewe ukiwa ktk kundi gani
Watetezi wa Legacy, wanafanya mipango ya kumfufua Jiwe kule kijijini Gambosh.
Hata angalikuwepo jiwe huyu Erio asingalibaki salama,
Sema tu msukuma mwenzie huyo DF alikua anamsaidia kumtetea kisukuma iiiiiiiiiii[emoji848]
Afande selle mbona husomeki ulichoandika?Acheni majungu yasiyo na kikomo, hujui kitu, eti mwendazake ujinga mtupu.
Mliyoyategemea hayajaja jiandaeni na maumivu kama kawa.
Tanzania haitakaa irudi nyuma. Chuma chuma tu
Hili shirika Erio kaliua sana aisee. Nawasikitikia mno wana NSSF originale. Mtateseka sana mpaka muishe wote.
Nasikia hata huyo Mshomba ni kibaraka wa Erio, ni sawa na kuruka mkojo ukakanyaga mavi [emoji1787]
Jamaa alikuwa na team yake JF ya kumuongelea vizuri. Ukipita tu uzi wa kumuhusu yeye unakuta wakina mpepokigoma sijui bahati 1980 [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanakuchangia kama vita vya Somalia nyingine sijui alikuwa anazituma mwenyewe. Kila lenye mwanzo lina mwisho muaache akamenye korosho Ntwara huko bei imepanda. Thats the end of his chapter KAZINGUA SANA.