William Erio: Mwisho wa Enzi kwa Boss wa NSSF au Mwanzo Mpya?

wewe kumbe bado huijui mifumo ya serikali.hvi mbona ni vitu vya kawaida mpaka kesho vinafanyika?uko nchi gani hii TZ?mbona kila siku watu wanahama na watu wao na wengine wanaendelea kuhamisha kutoka taasisi hii kwenda nyingine uko wapi wewe?
 
Imeanza enzi za jpm ila kwa sasa utakoma rasmi
 
Let him join politics if it suits. He is too old a wine to fill new bottles.
 
We mwanamke unaonekana ni malaya na huna kazi ya maana ndiyo maana unaleta mambo ya kipumbavu. Tafuta shughuri ufanye tofauti na hapo utaendelea kulaumu tu.
Malaya utakuwa wewe kwa kua una mabwana wengi akiwepo mwendazake
 
wewe kumbe bado huijui mifumo ya serikali.hvi mbona ni vitu vya kawaida mpaka kesho vinafanyika?uko nchi gani hii TZ?mbona kila siku watu wanahama na watu wao na wengine wanaendelea kuhamisha kutoka taasisi hii kwenda nyingine uko wapi wewe?
Naonaga kwa madereva na secretary,sasa mtu anakopi mpaka organisation structure ya alipotoka na vyeo vile vile.
 
wewe kumbe bado huijui mifumo ya serikali.hvi mbona ni vitu vya kawaida mpaka kesho vinafanyika?uko nchi gani hii TZ?mbona kila siku watu wanahama na watu wao na wengine wanaendelea kuhamisha kutoka taasisi hii kwenda nyingine uko wapi wewe?

Niko Madongokwinama! Mimi nilihoji uwezo wa boss wa shirika la umma kuhamisha wafanyakazi kutoka shirika lake kwenda Serikali Kuu au za mitaa, na hilo tayari limeshafafanuliwa na wengine satisfactorily.
 
Tatizo sio kukaa muda mrefu, bali kubuni njia sahihi za kutatua matatizo ya wachangiaji, watu kila siku wako kwenye maofisi yao, wastaafu kila siku wanakwenda kuhakiki. Kwanini wasifanya kwa njia ya mtandao? Watanzania wengi wako nyuma ya muda
 
Huyu alijiona hagusiki, pamoja na kikono chake akiongea anakunja na limdomo utadhani na domo nalo lina kilema
 
Jamaa ni kama paka, hata atupwe vipi anatulia miguu.. now DG wa WCF
 
Umeandika ukiwa objective sana.

Unaonekana upo neutral hivyo wote tuache muda uamue juu ya hatma ya huyu aliyekuwa DG wa miaka mingi kuwahi kutokea Tanzania.
Kwani aliteuliwa lini.
 
Zaidi ya yote ili kumkomoa kahyarara alitia ubaya kwenye miwa ili isiote kahyarara aonekane haja perfom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…