William fulton ni nani na taasisi ya mangotree ni kweli inahusika na kuispy Tanzania?

William fulton ni nani na taasisi ya mangotree ni kweli inahusika na kuispy Tanzania?

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,399
Reaction score
3,666
Screenshot_20230211-112412.png
wakuu naomba kwa mwenye taarifa za huyu mzungu wa mbeya atuelezee vizuri kuhusu mi nnachojua alifukuzwa tanzania mwaka 2015 kwa kosa la kuiba taarifa za mipango ya siri ya KIUCHUMI japo mwenyewe alikana na hata mtoto wake naye amemtetea kuwa si kweli
Screenshot_20230211-112451.png
Screenshot_20230211-112459.png
Screenshot_20230211-112507.png

Lakini jamaa anazidi kusisitiza anaomba arudi nchini na Mh Mwigulu Nchemba alishazungumza kuwa yeye haoni kosa la jamaa ila vyombo vya usalama bado vinasisitiza kuwa jamaa ni threat kwa taifa.
Kuna nini nyuma ya huyu jamaa kwa wanaojua tafadhali
 
Attachments

  • Screenshot_20230211-112441.png
    Screenshot_20230211-112441.png
    132.5 KB · Views: 7
Upelelezi? Ina maana bado afrika inapelelezwa tangu zama za ukoloni? Sasa huko mbeya anapeleleza nini? Huenda anafanya utafiti wa mambo yake tu
 
Upelelezi? Ina maana bado afrika inapelelezwa tangu zama za ukoloni? Sasa huko mbeya anapeleleza nini? Huenda anafanya utafiti wa mambo yake tu
 
Tanzania kuna vyombo vya usalama kwa maslahi ya taifa?

Waache kuchekesha!

Wamruhusu huyo mzungu au wamtafutie sababu zingine

Waseme alikua threat kwa maslahi yao na si threat kwa taifa.
 
Upelelezi? Ina maana bado afrika inapelelezwa tangu zama za ukoloni? Sasa huko mbeya anapeleleza nini? Huenda anafanya utafiti wa mambo yake tu
Kila nchi duniani bado haina usalama Wa uhakika.
Wapelelezi kiuhalisia bado wapo.
Swali ni vipi kuhusu huyu?
 
Back
Top Bottom