D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Kila nchi duniani bado haina usalama Wa uhakika.Upelelezi? Ina maana bado afrika inapelelezwa tangu zama za ukoloni? Sasa huko mbeya anapeleleza nini? Huenda anafanya utafiti wa mambo yake tu
Mara nyingi wasaliti ni wazawaHalafu unaokuta wana i spy Tanzania utashangaa ni wazawa ambao huwezi hata kudhania...