Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Waziri wa zamani wa Uchukuzi William Kusila (78) amefariki dunia leo mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili .
Chanzo : Mwananchi
Chanzo : Mwananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote Tiss wastaafuMawaziri wawili kwa mpigo
Aiseee !!Kama hawa vibosile hawatoboi 80
Sisi pangu pakavu 50 tutafika kweli
Kwa hiyo kwenye sensa ndio wamejitoa dah
Weeee !!! sema thuuuu !!COVID is back
Si suala la kuna nini Muhimbili. Kuna masikini wengi pale wanakufa kila siku tena kwa kukosa pesa ya kujitibu. Hufuatilii kwa sababu wao siyo maarufu.Duh! Leo Muhimbili kunani!! Vigogo wawili wameanguka kwa pamoja!
Apumzike kwa amani.