TANZIA William Kusila (waziri wa zamani) afariki Dunia

TANZIA William Kusila (waziri wa zamani) afariki Dunia

Si suala la kuna nini Muhimbili. Kuna masikini wengi pale wanakufa kila siku tena kwa kukosa pesa ya kujitibu. Hufuatilii kwa sababu wao siyo maarufu.
Mimi nimeongelea vigogo! Hayo masuala mengine naona kama unanionea tu. Na wewe kama unataka kuzungumzwa, basi kuwa tu kigogo, au mtu maarufu. Kinyume na hapo, hakuna atakaye kuzungumzia.

Na huu ndiyo ukweli mchungu.
 
Kama hawa vibosile hawatoboi 80
Sisi pangu pakavu 50 tutafika kweli
Kwa hiyo kwenye sensa ndio wamejitoa dah
theory of population and ageing nazipenda sana namba huwa hazidanganyi ishi utakavyoishi weka matozo unavyoweza waambie watakula nyasi waambie watalima kwa meno waite farasi na wewe ndo chama umeshika hatamu unawanyoosha waite raia wana akili za kawaida waambie asietaka tozo ahamie Burundi waite kichwa cha mwendawazimu wewe ni waziri kwamisha bwawa lao la umeme waambie raia wanaolala njaa kuwa hivi ni vijisenti tu sijui pesa ya mboga watukane raia unavyoweza ila uzee upo unakuja mdogo mdogo na vigogo wote tutaenda nao tu na mashangingi yao yale ambayo ni kodi za wanyonge watayaacha yamepaki uani!!
wakiifisadi nchi waacheni tu kaburi ndo kiboko ya kila mmoja wetu!! yatapukutika yote in 20 years Allahu Aaalam maana mengi maviongozi ni mazee vijana hawana ajira wala ofisi
 
Waziri wa zamani wa Uchukuzi William Kusila (78) amefariki dunia leo mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili .

Chanzo : Mwananchi
waziri-pic.jpg
 
Back
Top Bottom