Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa William Lukuvi Amekoshwa na uchapa kazi wa Rais Samia katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM pamoja na kasi ya ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Ambapo Mheshimiwa Lukuvi ambaye awali alikuwa mshauri wa Rais wetu Mpendwa katika masuala ya siasa, Ameonyesha kiu na matamanio hayo pale aliposema kuwa RAIS Wetu amefanya vyema kwa miaka mitatu hii na tunapaswa kumpatia mitano mingine na mingine mitano tena.Ambapo hiyo ikimaanisha ni mpaka Mwaka 2035.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma Pia:
- Rais Samia atakuwepo madarakani hadi 2035?
- Kuelekea 2025 - Kassim Majaliwa: Rais Samia Mitano tena, na mimi bado nauhitaji Ubunge