Pre GE2025 William Lukuvi Akoshwa Na Uchapakazi wa Rais Samia. Ataka Apewe Mama Kuongoza Hadi 2035

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mama ANATOSHA vyema na vizuri sana kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Kasome somo la uraia darasa la 3
Unachotakiwa kujua, Samia Hadi sasa anakula makombo ya mwendazake ambayo anamaliza 2025, baada ya hapo CCM ikiwapendeza watampitisha Samia kama mgombea wao wa 2025 - 2030, muhula wa kwanza uo na muhula wa pili ni 2030-2035, hyo ndio point ya Lukuvi.
 
Punguza kuleta ujuaji kwenye mambo usiyo ya jua, ikiwa Rais atakufa madarakani na makamu wa Rais akaapishwa na kutumikia nafasi hiyo kwa miaka mi3 au zaidi Makamu wa Rais ataruhusiwa kugombea kwa miaka mi 5 tu ya uchaguzi mkuu utakao fata na siyo zaidi ya hapo.
Kama angetumikia nafas ya Rais kwa kipindi kisichozidi miaka mi3 hapo ndo angeruhusiwa kugombea kwa vipindi viwili .
Kasome katiba acha kuandika upuuzi
 
2035 karibu wampe hadi 2050.
 
Hizo za extended period mnazoanza ndio zinaleta chuki kwa mh rais

Chuja cha kusambaza

Mama respect katiba
 
Hizo za extended period mnazoanza ndio zinaleta chuki kwa mh rais

Chuja cha kusambaza

Mama respect katiba
Chuki ipi wakati sisi ndio wenye Nchi? Au hujuwi sisi wananchi ndio wenye mamlaka ya kumuweka Rais Madarakani na ndio tunamamlaka ya kumuweka hadi 2035
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…