William Lukuvi anaandaliwa kuwa Spika wa Bunge la JMT?

Nilijua kabisa kuwa Samia anatumia mbinu zilezile za Magufuli. Ukiwa waziri na ukitaka kuwa safe usimseme Samia kupitia Simu. Nenda moja kwa moja ukaongee ana kwa ana na unaetaka kuongea nae. Hata Uspeaker jina halitarudi.
 
Duh!
Kumbe kupata hiko cheo lzm utengeneze network na mkwanja uliwe!!!

Hahaha hata katibu tarafa lazima ukohoe itakuwa hicho cheo ambacho unaweza ukaachiwa kiti cha Rais kwa dharura?

Tusubiri tuone kwa nchi zetu mpaka unakopa kwa lengo la kurudisha ukipita na usipopita unauza ulivyopiga mwanzo
 
Nilijua kabisa kuwa Samia anatumia mbinu zilezile za Magufuli. Ukiwa waziri na ukitaka kuwa safe usimseme Samia kupitia Simu. Nenda moja kwa moja ukaongee ana kwa ana na unaetaka kuongea nae. Hata Uspeaker jina halitarudi.
Whatsapp je?
 
😁😁😁😁
 
Pesa zote hizo alizopata kifisadi na kujenga apartments kibao bado anapigania ajira, kisha utasikia wanawaambia vijana wajiajiri!
 
Mnaplan ya kumuharibia jamaa wa watu
 
Wewe ni nani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wahuni gang wapo vizuri mno kwenye propaganda, sukuma gang kama wanashindana na hawa jamaa wanatakiwa wawe smart kwenye propaganda lasivyo watapigwa kila pambano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…