William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

We kweli mbbbwa ,kwani huyo Mumeo Lukuvi kazaliwa hawe waziri?! Hivi nyie mmerogwa? Dikteta ameharibu kweli mentality zenu kkkkenge nyie
Hahaha haya ndiyo matikiti maji ya Lumumba na Msoga
 
Nani asiyejua kuwa alionewa?
Unamtoa Lukuvi unamweka fisadi Ridhiwani jambazi kuu wa ardhi?

Nani asiyejua kazi kubwa aliyofanya LukuviLukuvi aliiheshimisha wizara ya ardhi sana.
Nimegudua wanasiasa hawana utashi wa kuwahudumia wananchi 100%
Alichofanya rais ni mfano tosha kuwa hayuko siriaz kuona wananchi wakipata huduma bora, kwa kuwaondoa;

A. Lukuvi
B. Kalemen

Hawa ndugu mapengo yao yanaonekana.
Majasho na nguvu walizozitoa kututumikia Mungu atawalipa.
Bila huruma tumwletewa MAGARASHA...Makamba na Riz moja ili waje kujitajirisha tu.
Gawaneni ma udongo wa nchi hii ikiwezekana tulipie jua na hewa...

Mambo haya ya fitina hutuondolea uzalendo...watu huanza kutafuna nchi wakijua hata wakijituma ni bure.
Umagufuli utakuua wewe.Tatizo mmejaa chuki tu na watu wa Pwani.Huyo Ridhiwan alikudhulumu kiwanja chako?Pia busara na uwezo wa January huufikii hata robo,na si wewe tu,kuanzia Lukuvi,Kalemani hadi huyo mungu wenu mwendazake
 
Mama ni nyoka tu. Pale alipoona watu wanashangaa kuwatoa mawaziri mahiri kama prof kabudi na lukuvi akajiwa na ulaghai kujidai atawapa kazi ambazo wala kikatiba hazipo.

Ni mjinga tu anafikiri suala la kuweka jamaa zake au kusawazisha dini wakristo na waislaam ni muhimu kuliko weledi na uadilifu wa mtendaji.

Unaweka watu kama januari makamba na nape nnauwe watu hawana nidhamu wala weledi in expense ya mtu kama prof kabudi. Hata ridhiwani ni upendeleo tu kuwekwa ardhi ili wapige mission.

Mama mungu anakuona. We hope mwisho wako ni 2025.
 
Anapuyanga tu
 
Hapana mkuu wangu umenifananisha kwani mimi ni mtu fulani CHINESE HEIGHT 🤣

Peace and Love🙏
 
Mama ni nyoka tu. Pale alipoona watu wanashangaa kuwatoa mawaziri mahiri kama prof kabudi na lukuvi akajiwa na ulaghai kujidai atawapa kazi ambazo wala kikatiba hazipo.
Ni mjinga tu anafikiri suala la kuweka jamaa zake au kusawazisha dini wakristo na waislaam ni muhimu kuliko weledi na uadilifu wa mtendaji.
Unaweka watu kama januari makamba na nape nnauwe watu hawana nidhamu wala weledi in expense ya mtu kama prof kabudi. Hata hiridhiwani ni upendeleo tu kuwekwa ardhi ili wapige mission.
Mama mungu anakuona. We hope mwisho wako ni 2025.
FB_IMG_16307140795615105.jpg
 
Hodari kuzungusha maneno tu hamna kitu hapo, 😂😂
Mwenye kitu ni wewe?!!!! 😳🤣🤣

Endelea tu kumshambulia na kumchafua CHIFU mkuu wa machifu wote Tanzania....mizimu itakufuata kishari......
2919120_IMG-20210908-WA0048.jpg

#Siempre JMT🙏
 
Muda mwingine jisifu kama kipo la chooni wakichafua wasafishe ila ujue watakuacha humohumo chooni
 
Huyu nae ashukuru Mungu kwani zile rushwa za viwanja alizokula toka kwa marehemu SHIVACOM zingemtokea puani kwani Magufuli aliisha muwashia taa nyekundu!!!

Alishamshitukia pia rushwa zake kule kwenye mashamba ya Kilosa aliyokuwa anashirikiana na mwenyekiti wa CCM!

Kama ana akili atulie astaafu arudi kwao Ismani akalime.
 
Alikuwa anataka aufanye uwaziri kama anavyofanya ubunge jimboni kwake. Kila mwenye nguvu anayegombea ubunge jimboni kwake lazima ang'ate shuka. Hana hati miliki ya uwaziri. Cheo cha kuteuliwa hakina dhamana. Atulie sasa isimami.
 
Kashajiwekezea vya kutosha huyu

We mleta uzi pigania maisha yako tu

Hao wrote siyo wenzako

Ova
 
Kwani lukuvi bila uwaziri hawezi kuishi?
Alizaliwa kuwa waziri?
Ubunge unamtosha tena kipindi hiki kiwe mwisho!
Hata kuwa RC alibebwa sana sana tofauti na elimu yake.
 
Back
Top Bottom