Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Umenikumbusha huu mradi wa mabasi ya wanafunzi uliokuwa chini ya UVCCM, Mwenyekiti akiwa John John Guninita!! Hivi Nchimbi hakuukuta huu mradi?Lukuvi ndiye aliua mradi wa mabasi ya wanafunzi akishirikiana na fisadi mwenzake Guninita, asifikiri tumesahau