Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Utasikia mtu anasema bila ushahidi, “tunaambiwa ni fisadi.” Ukimuuliza una ushahidi? Utasikia “majumba yote makubwa Dar na mikoa mikubwa ni ya kwake.” Una ushahidi na umiliki wa hayo majumba? Utasikia, “kila mtu anasema.”shetani hawezi kubadirika akawa kwa maana dhambi ni yake daima, hivi hapo Ridhiwani kakosa nini dhihirisha ubaya wake ili hukumu iwe juu yake. Tubadirike chuki haitakusaidia utapata pressure bure na utaitibu kwa gharama kubwa.
kaaazi kweli kweli, ndio maana hear say evidence haikubaliki!!!