William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

Nani asiyejua kuwa alionewa?
Unamtoa Lukuvi unamweka fisadi Ridhiwani jambazi kuu wa ardhi?

Nani asiyejua kazi kubwa aliyofanya Lukuvi?

Mambo haya ya fitina hutuondolea uzalendo...watu huanza kutafuna nchi wakijua hata wakijituma ni bure.
Safi Sana kama ana hati miliki na kaonewa safi Sana ngoja anyooke
 
Asaivi kuna shida ya rais wa 2025 au.2030 kuingia mkiristo.hivyo kunaumuhimu wa kuanza kuwachunguza kwa makini wakristo.walioko madarakani wataoonekana wana chembechembe za kutamani urais lazima aenguliwe mapema.
Hili suala limemfanya majaliwa kurudi nyuma kiutendaji maana alishapigia hesabu 2025
 
Kile alichoambiwa atakifanya hicho cheo hakipo. Ile geresha kutupooza wabongo ksbb ya kupiga kelele sana Lukuvi kuachwa kwenye baraza
Akupooze wewe,Lukuvu anakusaidia nini? Ana u spesho gani hasa ? Mataahira hamtakaa muishe
 
Ajiajiri huko au anazuga kwamba maisha magumu.

Amekuwa Waziri for more than 10yrs. Amekuwa ktk nafasi za juu kwa muda mrefu.

Anatuzuga tu

Matapeli tu hao wamekula na bado hawashibi
Wamejiwekea ardhi kibao wacha wasome sheria na katiba sasa walizozikanyaga

Magu alipokuwa anamtaja hadharani alivyokuwa anabinua mdomo sasa [emoji23][emoji23]
 
Nani asiyejua kuwa alionewa?
Unamtoa Lukuvi unamweka fisadi Ridhiwani jambazi kuu wa ardhi?

Nani asiyejua kazi kubwa aliyofanya Lukuvi?

Mambo haya ya fitina hutuondolea uzalendo...watu huanza kutafuna nchi wakijua hata wakijituma ni bure.
Tuliwahi kutukanana sana humu siku moja. Kwa hapa nakuunga mkono.
 
Hili suala limemfanya majaliwa kurudi nyuma kiutendaji maana alishapigia hesabu 2025
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapishana na tonge mdomoni.
Inaumaje yaan.
 
Matapeli tu hao wamekula na bado hawashibi
Wamejiwekea ardhi kibao wacha wasome sheria na katiba sasa walizozikanyaga

Magu alipokuwa anamtaja hadharani alivyokuwa anabinua mdomo sasa [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila lukuvi ananifurahisha akibinua mdomo wake, yaan mbavu cna.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila lukuvi ananifurahisha akibinua mdomo wake, yaan mbavu cna.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama samaki eti
 
Kwani bila uwaziri hawezi kuishi? Mbona watu kibao wako mitaani na mishemishe zao na maisha yanaenda? Atulie aendelee na hicho kilimo na ubunge wake.
Alijibu huku akicheka mtu akadaka ikaja huku!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama samaki eti
Kuna siku alikua na kikao cha kuhusu wizara yake, sasa kaongea kamaliza, afu mwingne akafuata kuongea, sijui alimuudhi nn, lukuvi akabenua mdomo afu mkono wake akauwekaje na kumalizia sonyoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nilicheka ile siku, nkajisemea mwenywe, ingekua kijana wa mtaan angeambiwa sio ridhiki. Uwiiiiiih.
 
Asaivi kuna shida ya rais wa 2025 au.2030 kuingia mkiristo.hivyo kunaumuhimu wa kuanza kuwachunguza kwa makini wakristo.walioko madarakani wataoonekana wana chembechembe za kutamani urais lazima aenguliwe mapema.

Kwa chuki hizi na wasiwe tu
Roho za chuki wameongelea sana kanisani ila hapo walichemsha kurekodi na kuanika chuki
Halafu unawasikia kabisa wengine wakiunga mkono hoja

Avae makoti yote ya muungano sasa
Aache ukiherehere
Watch the clip utajua kaondoka na mengi
IMG_4796.jpg
 
Kama alioewa tu dhamana,na alikuwa hajui kuwa inaweza kutwaliwa wakati wowote basi,Lukuvi ni hatari,wamepita wangapi aliookuwa yeye?anaweza kuteuliwa na kutenguluwa pia,kuwe na kusiwe na sababu.
 
Back
Top Bottom