William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

Yeye ni nani kwani toka niko primary Lukuvi ni waziri na wamemchukulia mama kama mwanamke wakaanza figisu ndugai mwenzake ata simu hapokei, baada kuuliza kwa sms wewe ni nani akajibiwa ni mtu wa gazeti fulani hakupokea tena simu..
 
Kama Rais kaweza kutengua u CAG wa Assad, ubunge wa Baloz Possi, Polepole na Uspika wa Kongwa atashindwa nini tena?

Rais wa Nchi zinazoendelea ( Kasoro Tanzania) anaweza hata kuamuru kutengua Uhai wa mtu na maisha yakaendelea kama kawaida
Nchii Rais anaweza kuteua na kumtengua yoyote wakati wowote na bila sababu kasoro CAG au Majaji.
 
Ni zamu ya watoto wa mjini kutafuna minofu ya twiga.

Jana kwenye ITV wameonyesha kipande cha clip wanainchi wa Kikongo Kibaha wakilalamika kuporwa ardhi na mwekezaji Kaluwa , nikakumbuka kuwa ugomvi huu JPM Aliiumaliza vizuri sana mbele ya TV kadhaa na watanzania wote tukishuhudia leo kweli lukuvi yupo benchi ? Kina kaluwa wamerudi kwa full speed naona inabidi tujiulize tunakwama wapi
 
Back
Top Bottom