William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

Kwani kutenguliwa ni kosa wakuu.

Kama mtu alichaguliwa basi akitenguliwa pia ni kawaida tu wakuu.
Utendaji wake ulikuwa bora sana kuliko hao akina makatani na miguu chemba. Ndio maana watu wanamsumbua Lukuvi kujua hicho cheo tulichoaminishwa utafanya kazi kipo?
 
Lugha Mpina, Dr. Msukuma, Polepole nao pia wamewakilisha 😂😂.

Tuungane kuukataa uhuni.
 
Bibi Mtozo hatengui bali anafanya sub za kikosi chake tumuache afanye kazi zake za kutozoa watz
 
Mnataka watu wawepo kwenye nafasi milele
Piganieni nafasi zenu acheni uchawa
Na we tafuta connection ujiweke sawa
Bila hivyo utaishia kulalamika tu

Ova
 
Mpuuzi, yeye Lukuvi ndiye aliyekuwa na hakimiliki ya uwaziri wa ardhi!
Halafu ebu angalia chuki zako unamtaja Ridhiwan kwani yeye ndiye aliyechukua nafasi ya Lukuvi, aliyechukua nafasi ni aliyekuwa naibu wake.
Halafu hilo Lukuvi liwe linatosheka ameingia serikalini toka enzi za Mwinyi 1994 baadaye akaendelea wakati wa Mkapa, Kikwete na Magufuli hatosheki tu?
Aliishazoea kuvimbiwa.
 
Mzee APUMZIKE tu Kafanya kazi sana ATULIE Kijiji kusema atapangiwa kazi nyingine ilikuwa kuzuia Kugombea USPIKA wenye AKILI KUBWA TULILIJUA MAPEMA
 
Asaivi kuna shida ya rais wa 2025 au.2030 kuingia mkiristo.hivyo kunaumuhimu wa kuanza kuwachunguza kwa makini wakristo.walioko madarakani wataoonekana wana chembechembe za kutamani urais lazima aenguliwe mapema.
 
Back
Top Bottom