William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

Kuna siku alikua na kikao cha kuhusu wizara yake, sasa kaongea kamaliza, afu mwingne akafuata kuongea, sijui alimuudhi nn, lukuvi akabenua mdomo afu mkono wake akauwekaje na kumalizia sonyoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nilicheka ile siku, nkajisemea mwenywe, ingekua kijana wa mtaan angeambiwa sio ridhiki. Uwiiiiiih.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa na kiburi sana huyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa na kiburi sana huyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan tangu hapo nikiona hata picha yake nacheka km mwehu, nikikumbuka hilo tukio ndo kabisaa mbavu cna.
 
Nchii Rais anaweza kuteua na kumtengua yoyote wakati wowote na bila sababu kasoro CAG au Majaji.
Huyo CAG na hao majaji pamoja na kuwa na hiyo kinga ila bado wana nidhamu za uoga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan tangu hapo nikiona hata picha yake nacheka km mwehu, nikikumbuka hilo tukio ndo kabisaa mbavu cna.

Ngoja niitafute hiyo clip maana alikuwa anapenda sana misifa kila akienda lazima camera nyuma
 
Kama Likuvi nae anatafuta kazi Bado kina
PASCAL MAYALA
JOHNBAPTIST
BRITANICA
mmepigwa msumari wa bati hamtapata uteuzi
 
Huyu si mbunge? Kwani alikuwa entitled kuwa waziri maisha yake yote?
Yaani anaongea utadhani ni mtu aliyefukuzwa kazi ilihali ni mbunge na analipwa mapesa mengi tu. Labda aliona yeye anahaki zaidi ya kuwa waziri kuliko aliyeko sasa. Ila ushauri mzee atulie aendelee na ubunge maana bado ni nafasi nzr na inalipa ukizingatia ametumikia ubunge na uwaziri kwa miaka mingi
 
Matapeli tu hao wamekula na bado hawashibi
Wamejiwekea ardhi kibao wacha wasome sheria na katiba sasa walizozikanyaga

Magu alipokuwa anamtaja hadharani alivyokuwa anabinua mdomo sasa [emoji23][emoji23]
Anaweza akawa kwake masaki
Au kwengineko
Alafu viongz bongo bana utasikia nko kijijini kwetu nalima hahaha
Ili wawaokote watu kama mleta uzi huu

Ova
 
..hata yeye alimuonea Mzee Sumaye kwa kumnyang'anya mashamba yake Morogoro.

..Sumaye alinyang'anywa shamba lake huku Mwinyi, Mkapa, na vigogo wengine waliohodhi ardhi kubwa zaidi hawakuguswa.
 
Anaweza akawa kwake masaki
Au kwengineko
Alafu viongz bongo bana utasikia nko kijijini kwetu nalima hahaha
Ili wawaokote watu kama mleta uzi huu

Ova

Kweli kabisa hilo linawezekana hata kama analimisha yeye anaenda kama mtalii tu huko
Alikuwa anapenda makamera sasa mbona hatuyaoni au kwa sababu ni kwa gharama zake sasa

Labda Pinda tu ndio mkulima [emoji2957]
 
Ukikubali kuteuliwa lazima ujue kuna kukubali kutenguliwa
KAZI IENDELEE
 
Yaani anaongea utadhani ni mtu aliyefukuzwa kazi ilihali ni mbunge na analipwa mapesa mengi tu. Labda aliona yeye anahaki zaidi ya kuwa waziri kuliko aliyeko sasa. Ila ushauri mzee atulie aendelee na ubunge maana bado ni nafasi nzr na inalipa ukizingatia ametumikia ubunge na uwaziri kwa miaka mingi
Siasa ni ulevi hapo ni zaidi ya issue ya pesa.
 
shetani hawezi kubadirika akawa kwa maana dhambi ni yake daima, hivi hapo Ridhiwani kakosa nini dhihirisha ubaya wake ili hukumu iwe juu yake. Tubadirike chuki haitakusaidia utapata pressure bure na utaitibu kwa gharama kubwa.
 
Kama Rais kaweza kutengua u CAG wa Assad, ubunge wa Baloz Possi, Polepole na Uspika wa Kongwa atashindwa nini tena?

Rais wa Nchi zinazoendelea ( Kasoro Tanzania) anaweza hata kuamuru kutengua Uhai wa mtu na maisha yakaendelea kama kawaida
Hao wabunge siyo kwamba waliingia deal na wao wakaamua kujiuzulu? CAG Assad nasiki kuna kakipengele kwenye sheria ambako kalitumika
 
Back
Top Bottom