William Malecela akacha mdahalo wa maadili Star tv!

Mwana mpumbavu ni msiba kwa Babaye.

Mithali.
 
hata ningekuwa mimi nisingetokea
 
lini LE KOKOBANGA na KOKOBANGA amekuwa na maadili? lakini amestuka ndio maana kakacha hata mimi ningekacha si kwa video Ile!
 
Mkuu hata ungekuwa wewe usingeenda. Ile video ilimdhalilisha mpaka mwisho! Unakumbuka alisema alitaka kujinyonga?
 
Aliyemshauri asiende mimi namsifu sana[emoji41]
 
Halafu huyu jamaa mara nyingi hutamkuta kavaa viatu ni Malapa au Makobasi anashida gani?
 
Lekokobanga na kokobanga lemutuz na nye nyenye[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…