William Malecela akacha mdahalo wa maadili Star tv!

William Malecela akacha mdahalo wa maadili Star tv!

Mwana mpumbavu ni msiba kwa Babaye.

Mithali.
 
77ff405bc04e4f048198e8e4071df8f0.jpg
kokobangas anaumwa yuko ananunua dawa za kusaidia stress ziondoke mana clip yake ameonekana zepumbuzz tu dhakari hamna eti ilichukuliwa na maji ya baridi bafuni
Ndo huyu????
 
William Malecela aka le mutuz ameshindwa kutokea katika mjadala uliozungumzia hatima ya utamaduni wetu na maadili uliorushwa mubashara na luninga ya Star.

Mwendesha kipindi ndugu James amesema walimualika mzee le mutuz kutokana na uhenga na nafasi yake katika jamii lakini ameshindwa kutokea. Ameahidi kumualika tena katika siku za usoni.

Chanzo: Star tv tuongee asubuhi!
hata ningekuwa mimi nisingetokea
 
lini LE KOKOBANGA na KOKOBANGA amekuwa na maadili? lakini amestuka ndio maana kakacha hata mimi ningekacha si kwa video Ile!
 
William Malecela aka le mutuz ameshindwa kutokea katika mjadala uliozungumzia hatima ya utamaduni wetu na maadili uliorushwa mubashara na luninga ya Star.

Mwendesha kipindi ndugu James amesema walimualika mzee le mutuz kutokana na uhenga na nafasi yake katika jamii lakini ameshindwa kutokea. Ameahidi kumualika tena katika siku za usoni.

Chanzo: Star tv tuongee asubuhi!
Mkuu hata ungekuwa wewe usingeenda. Ile video ilimdhalilisha mpaka mwisho! Unakumbuka alisema alitaka kujinyonga?
 
Aliyemshauri asiende mimi namsifu sana[emoji41]
 
Halafu huyu jamaa mara nyingi hutamkuta kavaa viatu ni Malapa au Makobasi anashida gani?
 
Lekokobanga na kokobanga lemutuz na nye nyenye[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom