William Malecela akacha mdahalo wa maadili Star tv!

William Malecela akacha mdahalo wa maadili Star tv!

umesahau kumalizia na Nye Nye Nye
CCM tunakosea tunapowafanya watu wenye akili za watoto kuwa ndio wanaosifia chama. Uongozi imara ungekataa watu kama huyu Le Mutuz kusemea chama. Ili tuwe makini tunahitaji watu wenye analytical minds na walopevuka sio hawa bado wako kwenye teens age
 
M-babu anayebemenda vibinti vigoli angetuambia nini kuhusu maadili! Ile issue ya kibamia imemuumbua sana Le-jitus
 
CCM tunakosea tunapowafanya watu wenye akili za watoto kuwa ndio wanaosifia chama. Uongozi imara ungekataa watu kama huyu Le Mutuz kusemea chama. Ili tuwe makini tunahitaji watu wenye analytical minds na walopevuka sio hawa bado wako kwenye teens age
Acha kumdharau Le mutuz kuwa yuko kwenye teens age. Huyo ni babu kwani angekuwa mtumishi wa umma alikuwa anakariba umri wa kustaafu kwa lazima.
Usione hicho kibamia cha kama motto wa miaka mitano ukadhani naye ana miaka mitano! mtake radhi Le mutuz
🙁🙁🙁
 
Angekuwa ameshastaafu, hiki kibabu kina miaka 63 amemzidi Sadifa kwa miaka 6!
 
Unafiki mwingine huu.
Walikuwa wapi siku zote,
Waje wamualike sasa na wakati kama huu?
 
William Malecela aka le mutuz ameshindwa kutokea katika mjadala uliozungumzia hatima ya utamaduni wetu na maadili uliorushwa mubashara na luninga ya Star.

Mwendesha kipindi ndugu James amesema walimualika mzee le mutuz kutokana na uhenga na nafasi yake katika jamii lakini ameshindwa kutokea. Ameahidi kumualika tena katika siku za usoni.

Chanzo: Star tv tuongee asubuhi!
77ff405bc04e4f048198e8e4071df8f0.jpg
kokobangas anaumwa yuko ananunua dawa za kusaidia stress ziondoke mana clip yake ameonekana zepumbuzz tu dhakari hamna eti ilichukuliwa na maji ya baridi bafuni
 
Back
Top Bottom