TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Dah! Nilisoma kitabu chake kile cha Maisha yake Ughaibuni, asee jamaa ni akili kubwa sana!

He was real, hafugi chuki na mpambanaji haswaa...Alikua so transparent na mshauri mzuri...

Ukiweka pembeni maisha yake ya kujirusha ambayo ni chaguo lake and was ok as alikua anakula pesa zake, The man was Mtu wa watu and true Hero!

Pumzika kwa Aman Kaka Mkubwa Le Mutuz!
 
Hii sifa hii...Basi tu....Wengi wamejifunzia utukutu kwa huyu kiumbe ....Tukutana/ tusi/ kejeli,tena mtandaoni,utaambulia kicheko....hahaaaa! na utajibiwa kwa sitaha..
..hiyo zaidi ilikuwa ni kipindi cha nyuma lakini siku za karibuni hapa alianza kutukana sana wanaomkejeli hasa akiweka post kwenye page yake insta...
 
Back
Top Bottom