TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Miongoni mwa Wana JF waliochangamsha jukwaa hili enzi zile. Ninamkumbuka jamaa kuwa na ujasiri wa kusimamia kile alichoamini hadi mwisho.

Sisi tunaotumia utamhulisho bandia tulikuwa tunampiga mawe lakini yeye akiwa na Verified Status alipambana na sisi kwa hoja mpaka mwisho bila uoga wowote enzi zile akiwa Majuu huko.

William Malecela umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza, imani umeilinda. Pumzika kwa Amani mzee wa Le Mibebiz, Boma Liwanza.

Kweli GADEMU kifo haki huruma
 
Kuna Uvumi mitandaoni kwamba William Malecela hatuko naye , hatuna pa kuthibitisha maana hakuna taarifa kamili , sasa huyu jamaa ni member mwenzetu hapa JF , tunaomba yeyote anayeweza kuthibitisha hili au kukanusha atusaidie.

Naomba kuwasilisha .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Le mutuz is no more.
Screenshot_20230514-120800.jpg
 
Back
Top Bottom