TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Mtu una matatizo ya moyo umeshaponyoka mara kadhaa hospitali kwa utaalamu wa madokta.

Umri umeenda, obese; halafu ukipata nafuu kidogo unarusha picha ukishusha breakfast white bread, mayai ya kukaanga kama matatu, siagi, sausage, maharage na chai ya maziwa juu. It was coming.

R.I.P king of all of bongo social media, personal nitamiss post zake za maisha zilikuwa fikirishi sana kwangu au unapata la kujifunza hasa kuhusu tabia za watu wanaotuzunguka.

Ulale salama king of all bongo social media.
👍👍👍
 
View attachment 2621167

Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msanii Steve Nyerere.

Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.
Leo ndio nimeona picha yake,anafanana sana na Mzee Malecela..
R.I. P
 
Mtu una matatizo ya moyo umeshaponyoka mara kadhaa hospitali kwa utaalamu wa madokta.

Umri umeenda, obese; halafu ukipata nafuu kidogo unarusha picha ukishusha breakfast white bread, mayai ya kukaanga kama matatu, siagi, sausage, maharage na chai ya maziwa juu. It was coming.

R.I.P king of all of bongo social media, personal nitamiss post zake za maisha zilikuwa fikirishi sana kwangu au unapata la kujifunza hasa kuhusu tabia za watu wanaotuzunguka.

Ulale salama king of all bongo social media.
sidhani kama 37 years ni umri umeenda
 
Back
Top Bottom