TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Pole sana mzee Malecela kwa kuondokewa na mwanao. Ni masikitiko kiasi gani mzazi mnaposhuhudia vifo vya wanao.

Kifokk ni fumbo gumu sana kwa kila mwanadamu.

Mwenyezi Mungu mwenye huruma amjalie pumziko jema William. Huruma ya Mungu ikutane nawe katika maisha ya Roho.
 
Namzungumzia Mzee malecela babake lemutuz....huyu Kama sikosei wa tatu anafariki.. dadake le mutuz mwele amefariki Kama miaka miwili iliyopita
Mzee MaleCela amefiwa na wanae wengi , Kwa idadi ngoja ni jaribu kukumbuka, Kuna mmoja alifariki mwanzo , mwinge kwenye ajali pale karibu na St Peters Oyesterbay ( kuna kama mwingine hapo kati ila sikumbuki vizuri) , Kuna moja bint ina semakana wa nje kitu kama alijiua kwa sababu ya mapenzi naye alifariki, halafu kuna Ippy, kuna Dr Mwalle halafu ndio Le Mutuz. , ni kama watoto sita hivi wote wamefariki .
 
Back
Top Bottom