TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

R. I. P LE BABAZ
 
Mi nilishakutana nae sana enzi za ujana....he was full of life...to be honest story yake ya watoto nimeijiua miaka ya hiv karibuni....sijui Kwa nini aliamua kuwapa mgongo....anyways...R.I.P
[emoji1] watu watammis

Ila hata yeye alipitia wakati mgumu sana kwenye maisha yake

Ova
 
Yule mtoto ake aliemtukana tusi kuu babae tumuone akija kumzika amtukane tena kea mara ya mwisho
nataka nione kama ex wake atawabeba watoto wake kuja kumzika baba yao, najua lazima atafanya hivyo akiamini kuwa siku mkuu wa kaya akienda zake atapatapo mafao (babu). ndio akili za wanawake. kama ameamua kuwatenga kabisa hao watoto na ukoo wa malecela ngoja tuone, na kama kweli watoto hawatakuja kumzika baba yao, ngoja dunia ishuhudie. ila ni mwanamke ambaye ni mfano mbaya kuliko wanawake wote duniani.
 
le mutuz lazima ameacha mali. nyumba kinyerezi sijui na vingine alikuwa anatamba navyo. sasa tunasubiri watoto wale waliomtukana baba yao na mama mwenye roho ya sumu aje kurithi. bahati mbaya nadhani le mutuz hakuna na wadogo zake ni kam alizaliwa peke yake, ila kama angekuwa na ndugu wengine, alitakuwa kuandika wosia mali zake ziende kwa ndugu zake. angetakiwa kuwaacha kabisa wale watoto wenye matusi waendelee kuishi kimama mama na mama yao.
 
Duuh mbona mafumbo ni ishu ya nani huyo na watoto wa mpango wa kando?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…