TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

I can't say!
life's too short, rest in peace, sote tutaondoka, nothing to proud in this world.
 
Lemutuz ni kama alishawahi kuitwa na daktari wake akamwambia ukweli wa afya yake na maisha yake hapa duniani.

Nadhani ni 1 ya watu waliokua wanajua hawatoishi milele lakini pia hawatoishi muda mrefu hapa duniani ndio maana

maisha ya Lemutuz aliamua kuishi kwa kujipa raha mwenyewe na nafsi yake,huyu baba hakutaka complicate mambo

alifanya kile ambacho moyo wake unataka,alikua huru na maisha yake,aliishi uhalisia wake Hata kifo kimemchukua

nadhani kama nafsi inaongea basi amemwambia Mungu,Asante kwa uhai ulionipa ulitosha! all in all tusiomjua lakini

tulizoea kuona Post zake hata kama hatukuchangia kitu,we feel sad,tumeumia specialy me nmeshtuka sana kuona hii

katika Mwaka umefululiza chukua watu ninao wajua na nilio na ukaribu nao basi 2023 umekua mwaka wenye memories

nyingi sana maishani mwangu,Lemutuz is no more najua hata mimi siku 1 sitokuepo,atakuepo mtu akisimulia alivyonijua/nipenda/nizoea yes this is life,

Mbaya zaidi,Sijawahi kukizoea KIFO sijui hata ni kwanini hili jambo halizoeleki..Hata ujiandae vipi,uwe tayari vipi,uwe na elimu gani kuhusu Kifo,kikimfika unaemjua Lazima kuna hali itakuvaa for a while..Ngumu sana hii Kitu.

Namwombaga tu Mungu anisaidie nisione vifo vya niwapendao wale blood close family and Friends ninavyochelewaaga ku recover mimi,Daaah sijui.God Knows.
 
Mara ya mwisho kusikitika sana kwa msiba wa mtu maarufu ilikuwa ni msiba wa Seth Bikira wa Kisukuma na leo kwa mara nyingine nina huzuni mno. Lemutuz alikuwa na utu pamoja na ishu zake zingine zilizokuwa kama zinaleta ukakasi. Huyu ni mtu aliyetaka vijana wafanikiwe kimaisha... alikuwa na upendo mkubwa kwa vijana. Mwaka 2014 alituandalia semina ya ujasiriamali ambayo ilikuwa na wazungumzaji wengi heavyweights akiwemo Ruge Mutahaba, Ridhiwani, Davis Mosha, DC Zainab na wengine. Hata machapisho yake mitandaoni zilikuwa zina mafunzo mengi kwa vijana. Alikuwa akisisitiza sana vijana wajasiriamali kuhakikisha tunaaminika na wadau wote hasa taasisi za fedha. Huu ushauri wake nimekuwa nikiuzingatia sana.

MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA. NIMESIKITIKA SANA LEO.
 
le mutuz lazima ameacha mali. nyumba kinyerezi sijui na vingine alikuwa anatamba navyo. sasa tunasubiri watoto wale waliomtukana baba yao na mama mwenye roho ya sumu aje kurithi. bahati mbaya nadhani le mutuz hakuna na wadogo zake ni kam alizaliwa peke yake, ila kama angekuwa na ndugu wengine, alitakuwa kuandika wosia mali zake ziende kwa ndugu zake. angetakiwa kuwaacha kabisa wale watoto wenye matusi waendelee kuishi kimama mama na mama yao.
Sio ni kama alizaliwa "peke yake" kiufupi alikuwa ni mtoto wa pekee kwa mama yake ila alikuwa na wadogo zake kwa upande wa baba yake.
 
Sio ni kama alizaliwa "peke yake" kiufupi alikuwa ni mtoto wa pekee kwa mama yake ila alikuwa na wadogo zake kwa upande wa baba yake.
angewapa mali hao walau, manake zile shahawa za marekani alitakiwa tu apige nyeto hazikutakiwa kutotoleshwa.
 
hivi ex wa le mutuz anajisikiaje anapoona watanzania rundo wanatoa RIP kwa baba watoto wake?
 
angewapa mali hao walau, manake zile shahawa za marekani alitakiwa tu apige nyeto hazikutakiwa kutotoleshwa.
Kama umesoma ile Historia ya maisha
yake utagundua hata hao ndugu zake nao hawafai hata kidogo alikuwa ktk vita nao.
 
Sisi kwetu Tanga twasema "Mtumba Tikubada" yaani mjomba kaenda.

Ilikuwa ni mwaka 2005 nikiwa States kwenye jitihada zangu za kusaka vyeti, nikakutana na Field Marshal aka Le Mutuz real name William Malecela.

Nilikuwa namuita uncle kwani alikuwa ni mkubwa kidogo kwangu ila ukija kwenye kukaa na kujadili politics na mikakati ya maisha, kwa kweli Le Mutuz alikuwa nguli.

Katika watoto wa wakubwa ambao nimekutana nao iwe ndani au nje ya nchi Le Mutuz huwezi fahamu kuwa ni mtoto wa mkubwa yaani mzee John Malecela alikuwa ni mmoja wa viongozi ambao wana vijana walo "humble" sana si wa kujikweza.

Wapo watoto wengi wa wakubwa wa siku hizi ambao hujidai na kutukana watu na kufanya ujinga mwingi lakini huyu Le Mutuz aliheshimu watu na ukiwa na hoja basi mtabishana kwa hoja.

Ndie alienieleza kuhusu JF enzi hizo imetoka kuanzishwa ikiitwa Jambo Forums na baadae nilipokuwa Zurich kikazi mwaka 2006 nikajiunga rasmi hadi leo.

Tukiwa JF, tuwe na staha na kuheshimu michango ya wengine na kuheshimu watu khasa wale usowafahamu maana hatufahamu ya kesho.

Binadamu tuhangaike kwa namna yoyote ile hapa duniani bado yabaki kuwa Dunia ni mapito na sote tutailamba vumbi iwe kwa hiari au kwa mshinikizo lakini Mungu hutupokea.

RIP Le Mutuz aka Field Marshal, baharia, real Name William Malecela mzee wa "You Know I know".
 
Ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram kumshukuru Mungu kwa kifo cha William Malecela na kusema Mungu amejibu

My take:siku PCK akifa itakuwa 1-1 na itakuwa dakika ya FULL TIME

USSR
Screenshot_20230514-153924.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom