Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
inna lillah wainna Illayhi Rajiun.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kidogo.
Sio ni kama alizaliwa "peke yake" kiufupi alikuwa ni mtoto wa pekee kwa mama yake ila alikuwa na wadogo zake kwa upande wa baba yake.le mutuz lazima ameacha mali. nyumba kinyerezi sijui na vingine alikuwa anatamba navyo. sasa tunasubiri watoto wale waliomtukana baba yao na mama mwenye roho ya sumu aje kurithi. bahati mbaya nadhani le mutuz hakuna na wadogo zake ni kam alizaliwa peke yake, ila kama angekuwa na ndugu wengine, alitakuwa kuandika wosia mali zake ziende kwa ndugu zake. angetakiwa kuwaacha kabisa wale watoto wenye matusi waendelee kuishi kimama mama na mama yao.
angewapa mali hao walau, manake zile shahawa za marekani alitakiwa tu apige nyeto hazikutakiwa kutotoleshwa.Sio ni kama alizaliwa "peke yake" kiufupi alikuwa ni mtoto wa pekee kwa mama yake ila alikuwa na wadogo zake kwa upande wa baba yake.
Marehemu anakufa? Naomba unijibuSasa hiyo ndio inazuia mtu asife?
Reaction za wabongo kwenye misiba zinawezafanya mtu uangue kicheko uonekane umefurahia marehemu kufa
Absolutely trueBe Humble down to the earth [emoji288][emoji288]
Kama umesoma ile Historia ya maishaangewapa mali hao walau, manake zile shahawa za marekani alitakiwa tu apige nyeto hazikutakiwa kutotoleshwa.
Au COVID-19 imerejea tena nini?????
Lemutuz alikwa na miaka 60 +.Sema post zake Instagram zilikuwa zinamfanya aonekane mdogo kuliko umri wake halisi.Chini ya miaka 50 bado ni kijana inahesabika.