TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

No Way, Aisee.

Daaaah

Huyu Jamaa Nlikua Namuelewa Sanaa [ Hasa Madini Yake Ya Kimaisha Na Street Intelligence ] Japo Wengine Wachache Walikua Hawamuelewi + Deep Down Alikua Ana Utu Sanaaa.

Rest in Paradise The King Of All Bongo Social Media Network With Over 30 Years In Experience At Downtown New York Mbelezzz.

What An Entertainer, Nimeumia Sana Daaah.

Hakika Maisha Ya Duniani Ni Safari Fupi Sana.

Bwana Mungu Akawe Muongozo Sahihi Kwa Watoto Wake Na Familia Kwa Ujumla. Amen [emoji1488]
No way? 😆 kwamba kuna mtu ana mkataba na Mungu eti ataishi milele?
 
Upumuaji ? Mafua makali !!?

Mzee wa live straight talk , free education

Watu waliokuwa karibu nae hususani marafiki wanasema alikuwa mtu sana, humble na asiepindisha mstari !

Kwenye mitandao alionekana mjivuni, mhuni n.k

Boma yeee
Boma liwanza!
 
Kifupi ukiacha lifestyle yke aliyoichagua alikuwa mtu poa tu licha ya jitahada za yule Malaya kujarbu kumchafua + akili za watanzania ila historia yke imemuacha huru sna. R.i.p
 
Back
Top Bottom