Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado anawalinzi au washamuondolea
Ameshapona na amerudi nyumbani kwa muumba wake. Wanga wengi sana.Sijui mshikaji anaendeleaje huko India
Daaaah nilitaka kucheka lakini sio jambo la kucheka...Ameshapona na amerudi nyumbani kwa muumba wake. Wanga wengi sana.
Mobimba aka Boma Ye aka Kokobanga Nye nye nye! E.K.K.ADaaaah nilitaka kucheka lakini sio jambo la kucheka...
Mwenyezi Mungu mpe pumziko jema Le Mutuz Superbrand. Sote Tu Njia Moja
Duh! Mtu kama huyu Mlolongo ukikutana naye utamfanyeje.Sijui mshikaji anaendeleaje huko India
One for OG FMES.Duh! Mtu kama huyu Mlolongo ukikutana naye utamfanyeje.
Cc Monetary doctor, Mshana Jr, Mbaga Jr, Kiranga, Dr am 4 real PhD, OKW BOBAN SUNZU.
Mkuu ugonjwa wa akili ni hatari Sana.One for OG FMES.
New York City is not the same without you.
Tanzania remembers.
The legacy lives on.
Mimi namlilia FMES. Sie watoto wa New York City tunajuana.Mkuu ugonjwa wa akili ni hatari Sana.
Aise apumzike kwa amani.Mimi namlilia FMES. Sie watoto wa New York City tunajuana.
Mbona comment ni za huzuni mzee wanguDuh! Mtu kama huyu Mlolongo ukikutana naye utamfanyeje.
Cc Monetary doctor, Mshana Jr, Mbaga Jr, Kiranga, Dr am 4 real PhD, OKW BOBAN SUNZU.
Mzee wa minjingu King kong 111 kweli tumem miss le kokobanga!Mobimba aka Boma Ye aka Kokobanga Nye nye nye! E.K.K.A
Mkuu huu uzi ulifunguliwa mwaka 2021 kwa ajalili ya kumwombea William Malecela aliyekuwa anamwa kipindi kile apone lakini leo hii bwana Mlolongo ameulizia kama mgonjwa amepona huku akijua kuwa mgonjwa alishatutoka tangu mwaka juzi. (Nenda post namba 145)Mbona comment ni za huzuni mzee wangu
Ndo nimeshangaa na mimiMkuu huu uzi ulifunguliwa mwaka 2021 kwa ajalili ya kumwombea William Malecela aliyekuwa anamwa kipindi kile apone lakini leo hii bwana Mlolongo ameulizia kama mgonjwa amepona huku akijua kuwa mgonjwa alishatutoka tangu mwaka juzi. (Nenda post namba 145)
Ni noma mkuu.Ndo nimeshangaa na mimi
Bwashee ni kisanga...Ni noma mkuu.