William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

ahahahahaha! u know yani millionaire Davis Mosha awe na business partner hana akili? hii ni big joke u know?

Le baharia kimbiza mbulullazz.

- Sasa subiri the big news za kesho with Davis itakuwa ni balaaa, maana kesho ndio msema ukweli

Le Mutuz
 
- Mjinga hapa utakuwa ni wewe maana huna ahata clue ya unachokiongea nyamaza tu mburulazzzz, nimeweka picha yangu asubuhi na wewe weka yako kama vipi nenda na njia yako that is how I make my money kwenye mitandao na that is how I command respect ya followers Millioni 11 online, get this right huyu kizee anacheza my game and I love it ila wewe hujui unachocheza hapa zaidi ya kujivua nguo maana you are in the game you have no clkue how it is played so nyamaza!!, ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz

Yani Wewe Ni Bure Kabisa, Fanya Uigize Porn Na Celebrity Mwenzako Ndo Utajulikana East Africa Nzima, Siunapenda Umaarufu #Idiot
 
kubali we mtu mzima na uliruka stage ndo mana uzeeni unasumbua eti unajaza page tano hahaaaa...watu tunakuchora tu we mbabu tu na umri haurudi ng'ooo..!huo umaarufu kunuka babu!

A a a a, Ili Babu Jin_@ Sana.
 
Eeee eeeeeeeeee mburulaz ni wewe yaan ulifaa uwe mwanamke huutumii vizuri uanamme wako, ulitaka nisiwe mnafiki ili iwejee,we mwenyewe mbeyaa ndio unaropoka kwa kutumia makalio badala ya akilii,achana na mimii wewe bogus mxxxxxiuuuuu toka uanze kutengeneza hizo pesa mbona upo hivyo hivyo nyooooooo libaba zima hovyoooooooo kelebu kenge wewe manena zakooo
Le mutuzii nyoko show

Duuuh, Umempa Yote Hayo.
 
Last edited by a moderator:
Yani Wewe Ni Bure Kabisa, Fanya Uigize Porn Na Celebrity Mwenzako Ndo Utajulikana East Africa Nzima, Siunapenda Umaarufu #Idiot

- Sure leo ndio kwanza nimetoka kwenye bodi ya leseni ya Radio kwa hiyo sasa mchezo utahamia kwenye Radio na wewe utabakia na haya mambo yako ndio maana ya akili ni nywele!!

Le Mutuz
 
....kwa kweli nimemsikiliza huyu mwenzangu na nimemuonea imani. Kama ni kweli anafanya haya mambo kwa ajiri ya rizki yake basi mwacheni jamani. Kila mtu atatoka kwa staili yake na usiogope kujaribu!Tofauti ya hapo ningesema Jamaa ana matatizo makubwa sana ya kisaikolojia kama mtoto wa kiume. Ila kwa kweli na wanaomshauri kibiashara pia waangalie kwani sio kila publicity stunt inajenga,zingine zinabobomoa,waulize marketing managers wanalijua hilo!Angalia Suarez masponsor wake wanavyovunja mikataba sasa!!Negative publicity can kill a business,ni ushauri tu lakini!!!
 
Tangu nijiunge JF sijawahi kucheka kwenye thread kama leo! BONGE NYANYA YOU MADE MY DAY!
 
- Mama yangu is fine na picha nimeieleta mimi kwenye mitandao kama nilijua ina tatizo ningeileta ya nini? ha1 ha! ha! unaona mkuu nilikwambia as far as mitandao you always play in my hands kwa sababu kila ninachofanya kwenye mitandao ni planned by me, wewe kazi yako ni kucheza ngoma yangu that kwenye picha ni my mama na hiyo ni nyumba yake ambayo kwa standards za Tunduma anakoishi she is fine infact ana mpaka wapangaji ndani yake wanaomsaidia kwa kipato, so mkuu tafuta sababu nyingine so far huna hoja tizama ulipoanzia mpaka ulipofikia sasa ahalafu next time leta picha ya mama yako kwanza ndio unakuwa na authority za kuulizia mama wa wengine U know, ha1 ha! ha!

Le Mutuz

Dah kama hapo ni kwa mama yako kweli,Bora ungezaliwa Kuku tu.Pole kwa waliokuzaa aisee..uneshindwa kumnunilia hata kitenge kizuri Mama yako..
 
Wanajuana hawa..mpyuuuuu le mutuz.me ananikera na litumbo lake kama matitiki maji dazan kumi..nan atampa ubunge kwa tabia yake ya kutiana vidole hiii.mpyuuuu
 
Nadhani kuna ishu ya kuchukuliana mabwana hapa. Acha movie liendelee.
Ova.
 
These two need to get married, wawazae upya wema na diamond tujue moja....u know!
 
huyu le mutuz naye apunguze mbwembwe, yani yeye akiamka badala ya kuvaa pajama au taulo anavaa suti kabla hajaoga wala kunawa uso? makubwa haya.
Lol!,I can't stop laughing....kwani analala mtupu?!, sasa in case of fire Le mutuz akatoka mbio mtupu si watu watakimbilia kwenye moto kwa kumkimbia yeye!
 
Back
Top Bottom