Hivi inakuaje-kuaje mtu anaanza kusutana na mwanamke??
- I am a media man ninajua media bila ya kuiendea Shule, ninaijua mediaa hata nikiwa nimelala I know the media ninajua nini cha kujibu ni nini cha kutokujibu kuna thread nyingi sana zinanihusu humu sijawahi kuzigusa kwa sababu haikuwa na any interest to my media business,
- Mbunge wa Chadema Zitto ndiye my best mentor on how to play the media na ninamshukuru kila siku, ingawa my role model ni Rush Limbaugh I follow his steps na it works, adui ni adui it does not matter yukoje what counts ni the messaage anayotuma ndio maana Nyerere a statesman alipigana na Idd Amin ukiwalinganisha ni vitu 2 tofauti kabisa lakini kulikuwa na National interest,
- I have invested big online mitandao all big business nilizonazo sasa hivi zote chanzo chake ni my investment mitandaoni, 90% ya my income sasa hivi inatokea humu mitandaoni so ninachagua cha kujibu only ninapoona kuna my best interest bila kujali ninamjibu nani, na kama ninavyosema ile Instagram Party imejibu maswali mengi sana ya my presence mitandaoni na hasa my investment in mitandao, so relax man
- Na ninarudia tena Biashara za mitandao ni kama biashara ya utumbo huwezi kukosa harufu, cha muhimu ninapima hasara na faida faida inakuwa ni kubwa kuliko matusi machche ambayo ni very ineffective so I take it, na besides umegundua kila thread ninayojibu hapa JF haikosi page 10 kwenda mbele ninapokwenda kukutana na business people wa online kutafuta deals hizi zote zinakuwemo kama ulikuwa hujui, ninawaambia ninaweza kuanzisha topic ya product yao hapa na ikapata viewers kama hizi page ninazionyesha, wanachojali ni nambaz na nambaz zipo hapa!!
- Ndio maana I love this bro!!, by the way juzi nilisafiri kwenye ndege na baba yako nilimuahidi kuja kumuona lakini naenda Bukoba kwenye Fiesta so sitakuja!!
Le Mutuz