William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

Hakuna cha ajabu; huyo ndiye mtoto wa Mzee Samweli Cigwiyemisi Malecela aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama tawala CCM, Makamu wa Kwanza wa Raisi na Waziri Mkuu. Pamoja na wadhifa wote huo Mwalimu hakusita kumuita mhuni...like father like son!

E banaeeh umeua....
Unajua Mwalimu alikuwa anaona mbali sana ndo mana alimchomoa mzee joni mapemaa kwenye kile kinyang'anyiro vinginevyo huyu jamaa Le Mutuz pamoja na upuuzi puuzi wake wote naye eti leo angekuwa anajiita PRINCE!. ha ha sipati picha ingekuwaje
 
  • Thanks
Reactions: kui
SASA WACHA NIKUFUE NA NIKUANIKE NNJE NA 360 NA OLE WAKO USIPOKAUKA,MAANA NITAENDELEA KUKUANIKA MPAKA UTAKAPO KAUKA MBWA WA SOKONI USOJIJUA'' WEWE APO KULIA PICHANI 'LEMUTZ aka LEMUTUMBAZ'
NI HIVI''' Kwa hiyo hapo umeamka na ulikuwa umelala na hilo kama dira vile'' kweli lijizeeshoga huwezi kukosa kulijua'' hapa huwezi danganya Wanaume wenye kuamcha mashine zao na kukobolea wanawake bidhaa zao kila siku 'yani uwadanganye wale mashoga wenzako ambao mashine zao zimeshalegea kama hiyo ya kwako ilolegea kama mlenda ulokosa maji''Yani mwanaume mzima unashindana na wanawake mitandaoni hadi kujipiga picha za uongo eti umeamka hivi na kupiga picha hii kwa hiyo na wao waamke asubuhi kujipiga picha waweke mitandaoni kama wewe ? una ona kweli hilo ni jambo la kuwaelimisha wanawake au wanaume wenzako ? yani badala waamke na kwenda kazini kuwahi dala dala na pia ofisini au sokoni kuuza bidhaa zao wao waje kuuza sura mitandaoni tena sura za kujificha ujinsia wao ?Yani hapa ndiyo umeonyesha jamii wazi how stupid idiot you are na hizo degree zako za uongo ''pumbavu na omba Mungu nimepata huu muda wakukujibu hapa Leo ''maana Instagram inakutosha mpaka utahama huko na hii Dunia kwa ujumla'''wewe shindana na Flora Lyimo the top in town ''alafu tuone'' sasa nasubiria picha zako kama hizi za kwangu ''ukiwa umevaa UNDERPANTS'' YANI UKIWA UMEVAA HIZO CHUPI ZANGU KUBWA ZA KIUME'' MAANA HATA FASHION HUJUI ''ETI HIZI CHUPI NILIZO VAA HAPA NI ZA KIUME''MBUTA NANGA!!

Majibu ya Flora Lyimo hayo
 
Am jibu ya Flora Lyimo hayo

- Baada ya the greatest results ya The Instagram Party in Dar last week, this weekend I was in Mwanza to explore jinsi ya kufanya another Instagram Party there it is confirmed tutafanya another Instagram Party in Mwanza in October, and then tutaenda Mbeya, Dodoma na Iringa baadaye Arusha na Tanga, so stay tuned for more details,

- I have to thank the Instagrammers in Dar kwa kujitokeza kwa wingi sana, I mean 6,000 people it was just a record so now Mwanza lets go here we come!! ha! ha! ha! ha! U know I love this yaani how I can use mitandao to make money!!, while others are looking for mitandao kutukana matusi U know! ha1 ha! ha! ha! ha!

- Ndio maana ya akili ni nywele kila mtu ana zake some of us like kila siku ya Mungu natafuta njia ya kutengeneza pesa kutumia hii hii mitandao na ndio hasa the heart ya the Instagram Party iliyovunja record last week at Escape 1 BEach Club, I mean wengine wanaona Mitandao ni mahali ya kurusha matusi na kutukna wasiowajua kwa kweli akili ni nywele kweli!! ha! ha! ha1 ha! ha!

- Haya maneno juu imagine yameandikwa na Mama Mtumzima mwenye Miaka 50, hana mtoto wala Mume na masikini ya Mungu elimu ndio hamna kabisa, na yupo Ulaya sasa imagine asingeenda kabisa ingekuwaje? ha! ha! ha! ha! jamani next stop Instagram Party ni Mwanza.

Le Mutuz
 
Dah!! hii thread imenifanya nicheke sana mipasho si mipasho,ahahahahaaaaaaa!!!! JF ni nouma.
 
Kwani WJM is gay? Real? Can't beleave this jamani....dah au kweli nini? Maana mh!
 
Kwani WJM is gay? Real? Can't beleave this jamani....dah au kweli nini? Maana mh!

- Kaka kumbe ni gay? so unafikiri kila mtu asiye na mawazo kama yako ya kwenda mtaani kusikilizia sauti za muziki kwenye magari ni gay kama wewe? ha! ha! ha! ha! ha! ha! yaani leo unajivua nguo mwenyewe kila kona ya JF pole sana mkuu!!

Le Mutuz
 
Mjasilia mali wa mitandao vipi Mwanza unawaandalia wapi vijana wetu hiyo sherehe?u know

- Kaka kila kitu kipo sawa kabisa Ijumaa nitakuwa Bukoba na Serengeti Fiesta na Jumamosi nitakuwa Kahama, mwezi wa kumi nitakuwa MWanza na Instagram Party at Jembeni jembe so get ready bro!, and then itakuwa Mbeya, Iringa, Dodoma na Morogoro

Le Mutuz
 
Hivi inakuaje-kuaje mtu anaanza kusutana na mwanamke??

- I am a media man ninajua media bila ya kuiendea Shule, ninaijua mediaa hata nikiwa nimelala I know the media ninajua nini cha kujibu ni nini cha kutokujibu kuna thread nyingi sana zinanihusu humu sijawahi kuzigusa kwa sababu haikuwa na any interest to my media business,

- Mbunge wa Chadema Zitto ndiye my best mentor on how to play the media na ninamshukuru kila siku, ingawa my role model ni Rush Limbaugh I follow his steps na it works, adui ni adui it does not matter yukoje what counts ni the messaage anayotuma ndio maana Nyerere a statesman alipigana na Idd Amin ukiwalinganisha ni vitu 2 tofauti kabisa lakini kulikuwa na National interest,

- I have invested big online mitandao all big business nilizonazo sasa hivi zote chanzo chake ni my investment mitandaoni, 90% ya my income sasa hivi inatokea humu mitandaoni so ninachagua cha kujibu only ninapoona kuna my best interest bila kujali ninamjibu nani, na kama ninavyosema ile Instagram Party imejibu maswali mengi sana ya my presence mitandaoni na hasa my investment in mitandao, so relax man

- Na ninarudia tena Biashara za mitandao ni kama biashara ya utumbo huwezi kukosa harufu, cha muhimu ninapima hasara na faida faida inakuwa ni kubwa kuliko matusi machche ambayo ni very ineffective so I take it, na besides umegundua kila thread ninayojibu hapa JF haikosi page 10 kwenda mbele ninapokwenda kukutana na business people wa online kutafuta deals hizi zote zinakuwemo kama ulikuwa hujui, ninawaambia ninaweza kuanzisha topic ya product yao hapa na ikapata viewers kama hizi page ninazionyesha, wanachojali ni nambaz na nambaz zipo hapa!!

- Ndio maana I love this bro!!, by the way juzi nilisafiri kwenye ndege na baba yako nilimuahidi kuja kumuona lakini naenda Bukoba kwenye Fiesta so sitakuja!!

Le Mutuz
 
Wanagombea buzi si bure

- Sawa sawa mwanaume ukishagombea mwanaume ni rahisi kuhisi wengine wote ni kama wewe ingawa kwa great thinker kama mimi kwa kusema maneno haya unajisema mwenyewe tabia zako kwamba huwa unagombea mabuzi na kina mama, ha! ha1 ha1 ha! ha! ha!

Le Big Show
 
Basi mnaoneana wivu !
 
Back
Top Bottom