William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

Mzee John Samwel Malecela anajuta kuchepuka

Kinky
 
Mjumbe wa baraza KUU WAZAZI CCM!!!!!
Mzazi gani ana haiba hii?
CCM wanadhalilisha wazazi kumpa huyu jamaa hii nafasi.

Unashangaa nini kwa chama hicho? Wako wengi wa aina hiyo na tabia hizo shida ni kuwa wengi wao hawajui matumizi ya computer. Imagine yule ndugu yake Lusinde ( maana pamoja na kumuangusha Tingatinga bado wao ni ndugu) angekuwa anajua kutumia computer na akawa anaingia kwenye mitandao sii ingekuwa balaa?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
silence could be his better weapon, kuandika aliyo andika ni kudhalilisha hizo degree 3 alizo nazo,
#au ndo ule msemo kuwa thermometer yenyewe ina degree 100 lakin inafanya kazi kwenye kwapa#
 
silence could be his better weapon, kuandika aliyo andika ni kudhalilisha hizo degree 3 alizo nazo,
#au ndo ule msemo kuwa thermometer yenyewe ina degree 100 lakin inafanya kazi kwenye kwapa#
 
Sasa hapo badala le mutuz aoneshe uanaume wake apige kimyaa lakin kwa umburulaz anataka ashindane na mbutaa yaan wanaume wenginee banaa

Si ndo hapo eti naye ana mwonyeshea mbuta nanga mwenyewe fyatu hamnazo ajali chochote hi ni sheeedah
 
silence could be his better weapon, kuandika aliyo andika ni kudhalilisha hizo degree 3 alizo nazo,
#au ndo ule msemo kuwa thermometer yenyewe ina degree 100 lakin inafanya kazi kwenye kwapa#

mkuu usitishwe hata na degree 10 huko mamtoni degree --------- kwa e-mail tu.

John mnyika hana hata degree moja huyu na degree zake 3 za magumashi atasimama naye kwenye debate ipi ili atoshe.
 
Nimeamini lemutuz ana miaka 18 ni mwili tu ulee,tumsamehe buree

Mmh yani mimi apa had naona aibu , nimeangalia picha yake na mambo yake hata hayaendani, ndo anasema ana degree tatu huyu?? Mmh labda za kununua kwa kweli

Yani mi naona wote akili zao zinafanana, wangeoana wangependezeana sana
 
muacheni le mutuz le BILIONEA............................!CHEZEYA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…