Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumuiya ya wazazi imepata mzazi.
Mwanaume gani unapigizana kelele na wanawake!!!??
Mjumbe wa baraza KUU WAZAZI CCM!!!!!
Mzazi gani ana haiba hii?
CCM wanadhalilisha wazazi kumpa huyu jamaa hii nafasi.
Mzee John Samwel Malecela anajuta kuchepuka
Kinky
Sasa hapo badala le mutuz aoneshe uanaume wake apige kimyaa lakin kwa umburulaz anataka ashindane na mbutaa yaan wanaume wenginee banaa
silence could be his better weapon, kuandika aliyo andika ni kudhalilisha hizo degree 3 alizo nazo,
#au ndo ule msemo kuwa thermometer yenyewe ina degree 100 lakin inafanya kazi kwenye kwapa#
Nimeamini lemutuz ana miaka 18 ni mwili tu ulee,tumsamehe buree