William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

Kwahiyo baada ya kuukwaa ubilionea,unakataa wewe siyo mgogo?

- Mimi ni mgogo ni sina wasi wasi na Ubilionea maana najua ninaupata very soon, haya ni matayarisho kuelekea kufungua Radio na TV imagine mimi nikishika mic kwenye Radio au niwe show kwenye TV itakuwaje? Ona hapa tu kwenye great thinkers likitajwa jina langu tu mipage kibao, watu wanalalamika sina akili lakini wanajaaa kuchangia all the times hiyo inaitwa addiction kwenye media kama unataka kuwa media Star ni lazima uweze kuwanfanya wafuasi wako wawe adicetd na wewe and you guys are, niambie nani hapa ahatakuja kuangalia kipindi changu cha TV? Niambie nani hapa hatakuja kusikiliza kipindi changu cha Radio? Ndio maana Clouds wamenipa offer ya kutangaz show maalum lisaa limoja kila siku kul;e TV yao ya Dubai maana wanajaua kwamba tayari nina base, sasa wasio na akili wanajifanya wana akili ndio wazuri kuwachezea akili U know and I love ti!1

Le Mutuz
 
Ushatoa msaada wapiii labda kwa mabebez wako, yaan weweeeeeeee ngoja nikuache kama ulivyo kubwa jingaaa
 
kama RUSH LIMBOURGH ni role model wako basi you are very dumb..kha
 
kwa hiyo unajisifu kupewa kutangaza na wajinga wenzako wanaopigana studio....pumbafu zenu
 
kwa hiyo unajisifu kupewa kutangaza na wajinga wenzako wanaopigana studio....pumbafu zenu

- Masikini ya Mungu unaona akili zako unaamini walipigana? ha1 ha! ha! ndio maana nimesema kwamba huwa mnajifanya mna akili sana hapa kumbe wengi ni wajinga wa mwisho,

Le Mutuz
 
- Masikini ya Mungu unaona akili zako unaamini walipigana? ha1 ha! ha! ndio maana nimesema kwamba huwa mnajifanya mna akili sana hapa kumbe wengi ni wajinga wa mwisho,

Le Mutuz

nenda na wewe mkafanye stunt ya kujisaidia haja kubwa studio ili mpime mnapendwa kiasi gani..imbeciles
 
- Masikini ya Mungu unaona akili zako unaamini walipigana? ha1 ha! ha! ndio maana nimesema kwamba huwa mnajifanya mna akili sana hapa kumbe wengi ni wajinga wa mwisho,

Le Mutuz

Babu naomba nikuulize, usipaniki lakini, eti ni kweli Wewe ni zao la mchepuko?

Kinky
 
Babu naomba nikuulize, usipaniki lakini, eti ni kweli Wewe ni zao la mchepuko?

Kinky

- Kama ulivyo wewe kumbe ulizaliwa kwenye michepuko sasa uandhani kama mlevi kila mtu alizaliwa kama wewe, mnajifanya kuandika maneno ambayo mkiwa challenged mnaanza kupanic wewe ndio mleta mada na hizi ndio akili zako kama kuku huna unalolijua zaidi ya kuandika pumba, wewe unadhani mimi ni level yako wewe mjinga wa akili this is Le Mutuz Big Show ninajua kila ninalolifanya na everything is under control, kumbe ulizaliwa kwenye michepuko and then what ikawaje? ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
Mbona umepanik babu

Kinky
 
Unapenda ugomvi eeh?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…