William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

Vipi wewe haumchukulii Bi Mkubwa hata kivitz,kama mama Domondi.

- Sijawa Bilionea lakini najua nitakuwa very soon wala sio ishu it is only a matter of time kabala sijamfanyia hayo, nipo kwenye the right track U know that, wala isikupe shida ok!!, unajua nipo ofisini kwangu hapa downtown bongo posta mpya naangalia mpira ndio maana ninapata time ya this thing U know

Le Mutuz
 
- Well I am businessman natafuta kuongezeka viewers kwenye this thread ambao wote najua wataishia kwenda kwenye blog kumbuka nina vijana nimewaajiri kwenye blog wanahitaji mshahara so worry not bado unacheza in my hands mkuu, ha1 ha! ha!

Le Mutuz

Babu pesa haitafutwi kwa kuuza utu, tunza utu wako.

Kinky
 
- Sijawa Bilionea lakini najua nitakuwa very soon wala sio ishu it is only a matter of time kabala sijamfanyia hayo, nipo kwenye the right track U know that, wala isikupe shida ok!!, unajua nipo ofisini kwangu hapa downtown bongo posta mpya naangalia mpira ndio maana ninapata time ya this thing U know

Le Mutuz

Kwenye screen ya ajabu siyo,Sony Bravia inch 999.
 
- Sijawa Bilionea lakini najua nitakuwa very soon wala sio ishu it is only a matter of time kabala sijamfanyia hayo, nipo kwenye the right track U know that, wala isikupe shida ok!!, unajua nipo ofisini kwangu hapa downtown bongo posta mpya naangalia mpira ndio maana ninapata time ya this thing U know

Le Mutuz

Wacha kujidhalilisha kwenye media, usijivue utu kwenye media ili kupata pesa, pesa bila heshima haina thamani.

Kinky
 
Babu pesa haitafutwi kwa kuuza utu, tunza utu wako. Kinky
- Sure wewe tunza utu wako na utafute utajiri siku ukiupata nifahamishe, something is got to give this is a Capitalism World we are in and this is the Social Media Field ambayo Wabongo wameamua kuitumia kwa matusi badala ya the intetions za Wazungu walioianzisha yaani kutengenezea pesa, sasa what do you do unakimbia the filed kwa sababu eti utapoteza utu wako? please mawazo ya kinyume sana hayo you play the game and win and let the chips fall where they may, mkuu nimejairbu kusoma this thread hakuna education hakuna ushauri wa maana kwa yoyote zaidi tu ya umbeya wivu na chuki with no FACTS, ila ninaamini kuanzia leo utaanza kunielewa!! Le Mutuz
 
Wacha kujidhalilisha kwenye media, usijivue utu kwenye media ili kupata pesa, pesa bila heshima haina thamani. Kinky
- No way kama unayosema ni ya kweli Google Scientific estimation inasema nina command the respect of 5 to 8 online million users, sasa nakiuulize how do I get that na wewe unasema ninauza utu wangu? How come wewe usiyeuza utu wako huna hiyo respect ya online users? Na for your info ni kwamba my blog ni number one Tanzania kwa kupitiwa na Diaspora kwa hiyo kampuni kubwa bongo ya AIM ambayo ndio wanasimamia dataz na kuwashauri makampuni makubwa where to advertise wanawaleta kwangu sasa unasema haya makampuni makubwa kama Vodacom na Airtel wanakuja kwangu mtu asiye na utu? Please people wacheni kurusha rusha maneno ambayo hamna facts za kuya back up mimi ninaweza kukupa back ya all I do as as Social Media is conencerned wewe m,saidie yule mama kizee ushauri wa namna ya kutengeneza pesa humu mitandaoni!!1 - Halafu nikuulize kwenye hii dunia ya sasa na utu wako unaajiri Vijana wangapi? Sasa hivi ukienda kuwaambia vijana ninaowaajiri watakuelewa kwamba muajiri wenu hana utu kwa sababu ya ajira anayowapa ya mitandao? please tumieni akili jamani japo kidogo tu Le Mutuz
 
- Sure wewe tunza utu wako na utafute utajiri siku ukiupata nifahamishe, something is got to give this is a Capitalism World we are in and this is the Social Media Field ambayo Wabongo wameamua kuitumia kwa matusi badala ya the intetions za Wazungu walioianzisha yaani kutengenezea pesa, sasa what do you do unakimbia the filed kwa sababu eti utapoteza utu wako? please mawazo ya kinyume sana hayo you play the game and win and let the chips fall where they may, mkuu nimejairbu kusoma this thread hakuna education hakuna ushauri wa maana kwa yoyote zaidi tu ya umbeya wivu na chuki with no FACTS, ila ninaamini kuanzia leo utaanza kunielewa!! Le Mutuz

Mimi mbona nakuelewa tu, naelewa kwamba uko tayari kujidhalilisha katika umri ulionao ili kuvutia so called viewers kwenye media so you can make money, hiyo sio sawa, utapata pesa utakosa heshima, tunza heshima babu.

Kinky
 
- Well I am businessman natafuta kuongezeka viewers kwenye this thread ambao wote najua wataishia kwenda kwenye blog kumbuka nina vijana nimewaajiri kwenye blog wanahitaji mshahara so worry not bado unacheza in my hands mkuu, ha1 ha! ha!

Le Mutuz

Babu yangu eeenh,acha mi nikalale bana.
Wewe ni mtu mzito sana hapa Tanganyika yaani hapa najiona mbarikiwa kupata nafasi ya kuchat na li businessman kama wewe.LOL.
Yaani wewe mshikaji uko humble kweli,hauko kama matajiri na wafanyabiashara wazito wenzako.Yaani wafanyabiashara wengine wanajitia wako busy eti kila kitu hadi issue za mitandaoni wana watu wakushughulikia ila Le Mutuz wewe anhhaa hutaki maringo unajichanganya na kupoteza muda wako kutuelewesha sisi makanjanja tusiojua kitu.Yaani kwa moyo huo utajiri wako soon utamzidi hata Mengi na Bakhresa maana wao muda kama huo wako wakujichanganya mitandaoni na ma nobodies kama sisi hawana eti wanajifanya wanatumia muda wao kufikiria new business ideas,si maringo hayo.

Le Mutuz wewe ni mtu wa watu na hakuna kama wewe miaka 80945688222399992333333.
 
Mimi mbona nakuelewa tu, naelewa kwamba uko tayari kujidhalilisha katika umri ulionao ili kuvutia so called viewers kwenye media so you can make money, hiyo sio sawa, utapata pesa utakosa heshima, tunza heshima babu. Kinky
- Look here siku nikikosa heshima mbele ya jamiii nitaacha anything kilichosababisha lakini so far sijakosa heshima hata siku moja nawajua watu wasiokuwa na heshima hapa mjini wanavyofanana mimi sijafikia huko kwenye kukosa heshima hata siku moja, majuzi niliitwa kutoa mada kwenye mkutano mzito sana CCM Taifa seriously kuhusu kazi za CCM kwenye mitandao, unasema CCM Taifa wanaweza kumuita mtu unayemsema asiye na heshima? - Ninapokuwa mitaani watu kibao wa humu hasa wanaonitukana kila siku wananikimbilia wenyewe kuomba picha na kujitambu;lisha wenyewe wanajua mimi ni mstaarabu na businesssman hapa kwangu ni strickly businsess ndio maana wanaweza kuja kunikimbimbilia, nikienda Chadema ninapewa heshima kubwa sana sasa unataka niwe hna heshima ipi hiyo? People wacheni chuki na wivu na kuanduka msiyoyajua, mkuu sifa ya mimi kujulikana sana ni JF kuliko anything, so calm down uliza uelimishwe!! Le Mutuz
 
Babu aliyemzidi kwa mwaka mmoja babu yangu mzaa mama kupiga picha asubuhi kabla ya kuosha uso ili kumuonyesha uzuri wake mwanamke, kamwe hawezi kuheshimika.

Kinky
 
Babu yangu eeenh,acha mi nikalale bana. Wewe ni mtu mzito sana hapa Tanganyika yaani hapa najiona mbarikiwa kupata nafasi ya kuchat na li businessman kama wewe.LOL. Yaani wewe mshikaji uko humble kweli,hauko kama matajiri na wafanyabiashara wazito wenzako.Yaani wafanyabiashara wengine wanajitia wako busy eti kila kitu hadi issue za mitandaoni wana watu wakushughulikia ila Le Mutuz wewe anhhaa hutaki maringo unajichanganya na kupoteza muda wako kutuelewesha sisi makanjanja tusiojua kitu.Yaani kwa moyo huo utajiri wako soon utamzidi hata Mengi na Bakhresa maana wao muda kama huo wako wakujichanganya mitandaoni na ma nobodies kama sisi hawana eti wanajifanya wanatumia muda wao kufikiria new business ideas,si maringo hayo. Le Mutuz wewe ni mtu wa watu na hakuna kama wewe miaka 80945688222399992333333.
- finaly we are getting somwhere infact nipo ofisini kwangu hapa downtown Hifadhi House gorofa ya 9 naangalia mpira huku nachat hapa, mimi najitambua I know who I am, na this Social Media ni the game of minds which I am the best of mind manipulation kutokana na masomo niliyowahi kuyasoma ya Criminology ukiyatumia in the real life kwenye kudeal na watu unaishia kuwa kama mimi you make people always dance to your drums bila kujijua adn here we are, ila thanks kwa kuanza kunielewa!! Le Mutuz
 
Babu aliyemzidi kwa mwaka mmoja babu yangu mzaa mama kupiga picha asubuhi kabla ya kuosha uso ili kumuonyesha uzuri wake mwanamke, kamwe hawezi kuheshimika. Kinky
- Well umri hauna shida kwenye Capitalism kama kweli ninao kama unavyousema, ila kila siku kunapokucha lazima nitafute njia za kucreate excitism ya kuwafanya folowers kujua nipo na nimesema something unachokisema ni very exciting thing kwa followers unaseam mtu unaweza kupoteza utu wako kwa kuonyesha picha ulizopiga baada ya kuamka tu? Ni taifa gani unalolisema mkuu sana? Le Mutuz
 
Babu, kila umri na mambo yake, kuna mambo nikiyafanya mimi hayashtui wala hayanipotezei utu wangu, lakini mambo hayohayo akiyafanya mtu wa umri wako watu wanamdharau, that's it, unayoyafanya hayapaswi kufanywa na mtu wa umri wako, unajidharaulisha, hata kama yatakuingizia pesa, utaishije na pesa zako kwenye jamii inayokudharau!?

Kinky
 
- Sijawa Bilionea lakini najua nitakuwa very soon wala sio ishu it is only a matter of time kabala sijamfanyia hayo, nipo kwenye the right track U know that, wala isikupe shida ok!!, unajua nipo ofisini kwangu hapa downtown bongo posta mpya naangalia mpira ndio maana ninapata time ya this thing U know

Le Mutuz

Anhaaa sasa ninazidi kukuelewa.
Kumbe kwa kawaida wewe ni mtu usiye na time yakujibishana hovyo hovyo ila leo imetokea tu kama bahati ukasema ngoja nijibishane na hawa mburulaz wajisikie raha kidogo kupata bahati yakujibishana na mimi.
Okay,I get you Sir,
 
Babu, kila umri na mambo yake, kuna mambo nikiyafanya mimi hayashtui wala hayanipotezei utu wangu, lakini mambo hayohayo akiyafanya mtu wa umri wako watu wanamdharau, that's it, unayoyafanya hayapaswi kufanywa na mtu wa umri wako, unajidharaulisha, hata kama yatakuingizia pesa, utaishije na pesa zako kwenye jamii inayokudharau!?

Kinky

- ANYWAYS mpira umeisha now I am going home ninaamini nimekusaidia sana kunielewa na wengine kama wewe yote unayoyasema huna FACTS mimi ninazo facts ya kuback ninayoyasema kwa mfano sasa naandaa Miss Ilala sina tatizo kabisa kupata wadhamini, hebu wewe mwenye heshima jaribu nione kama unaweza kupata mdhamini hata mmoja ndio maana nakwambia kwamba unacheza ngoma yangu mkuu pole sana ila mpira umneisha naomba kwenda kulala sasa, kesho asubuhi sana nina mkutano Vodacom, maana nategemea kufanya bonge la show soon!1 so stay tuned ok!!

Le Mutuz
 
Anhaaa sasa ninazidi kukuelewa.
Kumbe kwa kawaida wewe ni mtu usiye na time yakujibishana hovyo hovyo ila leo imetokea tu kama bahati ukasema ngoja nijibishane na hawa mburulaz wajisikie raha kidogo kupata bahati yakujibishana na mimi.
Okay,I get you Sir,

- No huu ulikuwa ni mjadala muhimu sana kuweka msimamo wa nini ninafanya na nini sifanyi kuhusiana na mitandao, niamini wengi leo hapa wamepigwa na mshangao na majibu yangu najua sana, naomba kwenda kulala now!1

Ungeijua id ya jf anayotumia mtoto wako uliemtelekeza US kukuchamba hapa, usingeingia tena humu jf

Kinky
 
- Kaka 50% ya mapato yangu kimaisha yanatokea kwenye mitandao na this is one of them sasa huyu mburulazazz na wenziwe wanasema nini? They have no brain ya kufikiri mbali sana halafu wana maneno ya maadili nonsense wabaki nayo maadili yao sisi tutaendelea kucheza na Social Media mpaka kieleweke I could care less wewe mtumzima na akili timamua anakuja kuandika mawazo yake kwenye thread inayozungumzia mtu asiye na akili sasa yeye anakuwaje kama sio mburulazzzz anakata mti alioukalia mwenyewe,

- Yanajafanya hapa wewe Le Mutuz huna akili nikikutana nayo mitaani yanaanza kuniomba picha na kujitambulisha yenyewe mimi ni yule wa JF comeon man yajifunze kufikiria kuliko yanavyoweza kabla ya kuandika foolishness!

Le Mutuz
Aisee kama hayo malumbano yana kunufaisha kiasi hicho basi ..usiache.....! kamata fursa
 
Back
Top Bottom