William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Vipi wewe haumchukulii Bi Mkubwa hata kivitz,kama mama Domondi.
- Sijawa Bilionea lakini najua nitakuwa very soon wala sio ishu it is only a matter of time kabala sijamfanyia hayo, nipo kwenye the right track U know that, wala isikupe shida ok!!, unajua nipo ofisini kwangu hapa downtown bongo posta mpya naangalia mpira ndio maana ninapata time ya this thing U know
Le Mutuz