William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Kwahiyo baada ya kuukwaa ubilionea,unakataa wewe siyo mgogo?
- Mimi ni mgogo ni sina wasi wasi na Ubilionea maana najua ninaupata very soon, haya ni matayarisho kuelekea kufungua Radio na TV imagine mimi nikishika mic kwenye Radio au niwe show kwenye TV itakuwaje? Ona hapa tu kwenye great thinkers likitajwa jina langu tu mipage kibao, watu wanalalamika sina akili lakini wanajaaa kuchangia all the times hiyo inaitwa addiction kwenye media kama unataka kuwa media Star ni lazima uweze kuwanfanya wafuasi wako wawe adicetd na wewe and you guys are, niambie nani hapa ahatakuja kuangalia kipindi changu cha TV? Niambie nani hapa hatakuja kusikiliza kipindi changu cha Radio? Ndio maana Clouds wamenipa offer ya kutangaz show maalum lisaa limoja kila siku kul;e TV yao ya Dubai maana wanajaua kwamba tayari nina base, sasa wasio na akili wanajifanya wana akili ndio wazuri kuwachezea akili U know and I love ti!1
Le Mutuz