William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

- Mimi ni mgogo ni sina wasi wasi na Ubilionea maana najua ninaupata very soon, haya ni matayarisho kuelekea kufungua Radio na TV imagine mimi nikishika mic kwenye Radio au niwe show kwenye TV itakuwaje? Ona hapa tu kwenye great thinkers likitajwa jina langu tu mipage kibao, watu wanalalamika sina akili lakini wanajaaa kuchangia all the times hiyo inaitwa addiction kwenye media kama unataka kuwa media Star ni lazima uweze kuwanfanya wafuasi wako wawe adicetd na wewe and you guys are, niambie nani hapa ahatakuja kuangalia kipindi changu cha TV? Niambie nani hapa hatakuja kusikiliza kipindi changu cha Radio? Ndio maana Clouds wamenipa offer ya kutangaz show maalum lisaa limoja kila siku kul;e TV yao ya Dubai maana wanajaua kwamba tayari nina base, sasa wasio na akili wanajifanya wana akili ndio wazuri kuwachezea akili U know and I love ti!1

Le Mutuz

Basi usimsahau mama yetu kule kijijini, si unaonao nyumba yake ilivyo.

Kinky
 
ImageUploadedByJamiiForums1404940339.936967.jpg

Kinky
 
Mtamuua kwa presha jamani tungependa tumuone na vipensi vyake atuongezee cku za kuishi kwa kicheko.

- Mama yangu is fine na picha nimeieleta mimi kwenye mitandao kama nilijua ina tatizo ningeileta ya nini? ha1 ha! ha! unaona mkuu nilikwambia as far as mitandao you always play in my hands kwa sababu kila ninachofanya kwenye mitandao ni planned by me, wewe kazi yako ni kucheza ngoma yangu that kwenye picha ni my mama na hiyo ni nyumba yake ambayo kwa standards za Tunduma anakoishi she is fine infact ana mpaka wapangaji ndani yake wanaomsaidia kwa kipato, so mkuu tafuta sababu nyingine so far huna hoja tizama ulipoanzia mpaka ulipofikia sasa ahalafu next time leta picha ya mama yako kwanza ndio unakuwa na authority za kuulizia mama wa wengine U know, ha1 ha! ha!

Le Mutuz
 
Huyu mshikaji mu huwa simuelewagi big time.
Yaani hata simshangai anavyolumbana na huyo manzi.

- Mkuu mimi nimewekeza hela zangu nyingi kwenye Social Media huyu mama kizee kila anavyonitukana ananiongezea stocks, sasa kwenye Capitalism unapima faida na hasara hasara ni kulliliwa na watu wajinga kama wewe wasiojua kitu, faida ni kuongeza pesa so I go with faida na kuwajibu mburulazzz kama wewe got it? ha1 ha!

Le Big Show
 
Poor you.
 
Mtamuua kwa presha jamani tungependa tumuone na vipensi vyake atuongezee cku za kuishi kwa kicheko.

- ha! ha1 sasa tizama what is this unaita hii ni akili kuandika huu ujinga ujinga? Mmezoea kutukana waioweza kuja kujibu hapa mimi huwezi huna hoja na huna akili ya kulumbana na mimi mkuu, ebo nenda shule tena ha1 ha!

Le Mutuz
 
Le billionaire hii hapangui,huyo ni Bi mkubwa copyright,tena anaonekana hajapata msaada kwa muda mrefu sana.
 
Attachments

  • 1404941544946.jpg
    1404941544946.jpg
    39.3 KB · Views: 270
Le billionaire hii hapangui,huyo ni Bi mkubwa copyright,tena anaonekana hajapata msaada kwa muda mrefu sana.

- HA1 HA! HA! HA! nimewakamata pabaya! ha! ha! ha! yupo sawa sana miezi michache iliyopita nilienda mwenyewe kumuona Tunduma sh is just fine leo mmeptikana ha1 ha! ha! ha! ha!

Le Big Show
 
- ha! ha! ha! honestly poor U i feel sorry kwa mtu kama cause huna unalolijua zaidi ya kujifanya kujua na hujui anything, tuliza boli this is Le Big Show utaisoma tu!!

Le Mutuz

Sawa babu nimekubali.
Chukua kombe la ushindi.
Nani kama Le Mutuz?Hakuna.

Happy now?
LOL.
 
- Mama yangu is fine na picha nimeieleta mimi kwenye mitandao kama nilijua ina tatizo ningeileta ya nini? ha1 ha! ha! unaona mkuu nilikwambia as far as mitandao you always play in my hands kwa sababu kila ninachofanya kwenye mitandao ni planned by me, wewe kazi yako ni kucheza ngoma yangu that kwenye picha ni my mama na hiyo ni nyumba yake ambayo kwa standards za Tunduma anakoishi she is fine infact ana mpaka wapangaji ndani yake wanaomsaidia kwa kipato, so mkuu tafuta sababu nyingine so far huna hoja tizama ulipoanzia mpaka ulipofikia sasa ahalafu next time leta picha ya mama yako kwanza ndio unakuwa na authority za kuulizia mama wa wengine U know, ha1 ha! ha!

Le Mutuz

Huoni Kama kuna haja ya katiba mpya kuwekwa kipengele kitakachowapa mafao michepuko waliozaa na mawaziri wakuu wastaafu?

Kinky
 
Sawa baba nimekubali.
Chukua kombe la ushindi.
Nani kama Le Mutuz?Hakuna.

Happy now?
LOL.

- Well I am businessman natafuta kuongezeka viewers kwenye this thread ambao wote najua wataishia kwenda kwenye blog kumbuka nina vijana nimewaajiri kwenye blog wanahitaji mshahara so worry not bado unacheza in my hands mkuu, ha1 ha! ha!

Le Mutuz
 
Huoni Kama kuna haja ya katiba mpya kuwekwa kipengele kitakachowapa mafao michepuko waliozaa na mawaziri wakuu wastaafu?

Kinky

- Yaani una maana kama mama yako au? ha1 ha! ha1 ha1 maana hapa michepuko itakuwa ni mama wako mkuu sana, ha1 ha! ha! au wewe mwenyewe maana unaonekana upo kimichepuko chepuko kivile hivi, ha1 ha!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom