Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Siku hizi mapochi yamepungua kanifukuza kazi.
Hahahaaa chezea stress za Zari weye?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi mapochi yamepungua kanifukuza kazi.
Mmh ila hata kama.... Mbuta Nanga kazd kama jina lake mbutaaaa yule ni nats kabisa lol
Huyu le mutz ni pimbi juzi anapiga simu anatisha eti ataweka watu ndani wanaokoment kama awezi kuvumilia asipost chochote
Le mbebe yuko wapi siku hizi?
- Busy na my new TV Talk Show, nipo U know
le Mutuz
- Busy na my new TV Talk Show, nipo U know
le Mutuz
Ile Radio vipi hufungui tena?? Jamaa huwa una mipango mia 8 lakini hata haifanikiwagi..
Yaani wewe na Pimbi hamna tofauti yeyote..
Ile Radio vipi hufungui tena?? Jamaa huwa una mipango mia 8 lakini hata haifanikiwagi..
Yaani wewe na Pimbi hamna tofauti yeyote..
Le Bwegezzz! Le muttuzzz🙂!
Mzee John Samwel Malecela anajuta kuchepuka
Kinky
silence could be his better weapon, kuandika aliyo andika ni kudhalilisha hizo degree 3 alizo nazo,
#au ndo ule msemo kuwa thermometer yenyewe ina degree 100 lakin inafanya kazi kwenye kwapa#
- Between juzi na jana imeniongezea Insta 1000 blog visitors 20,000 it mean maengezeko ya mapato atleast kwa 3% sasa how do you make money kwenye Social media bila ku-create crisis? Yaaani humu imejaa mijitu mingi akili ndogo sana!!
Le Mutuz