William Malecella aandaa miss Ilala!

William Malecella aandaa miss Ilala!

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
5,597
Reaction score
1,013
Anaongea kupitia clouds fm radio kwamba yeye ndo anaanda mashindano ya miss Ilala! Kumbe ndo maana huwa simwelewi... Kumbe yupo kwenye mambo haya!
 
Mbona miss tanzania kama haipo tena vile, sikumbuki lini ilifanyika, wapi, na mshindi ni nani sasa miss ilala si ndo kabisa au labda kakijiwe kakutafuta watoto wa kuja kutukuna vitambi weekends
 
Asubuhi alikuwa Star tv. Mwili wake nyumba, kodi zetu tu
 
kama vipi mbebs atakayeni-get laid atakuwa super miss ilala.ha ha ha ha
 
Alimkashfu Shehk Ponda kwa maneno ya kejeli na matusi, tukilinaganisha anachopigania Shehk Ponda kuhusu uislam na hiki anachokishabikia huyu jamaa ni nani hasa aliye mpuuzi na mwaribifu wa Mila na Desturi zetu, kama ni muandaaji ni vizuri akachukua na watoto wake au wajukuu zake wakaonyesha vichupi mbele yake.
 
Anaongea kupitia clouds fm radio kwamba yeye ndo anaanda mashindano ya miss Ilala! Kumbe ndo maana huwa simwelewi... Kumbe yupo kwenye mambo haya!

jumamos Tht watakuwa Kigoma na fiesta, hem tuambie ni Rc pekee utakuwa nae au Chai izo?
 
Ameingia kwenye urembo tayari...?? teh teh ...

Alikuwa "mrembo" siku nyingi......mpaka KALIKITI alikuwa anapaka kwenye nywele!

401172_3173684740261_1209820481_33466017_1061006228_n.jpg
 
Hili lijamaa laajabu sana, sijui kwanini hajifunzi kwa dada yake. she is very decent women
 
Alimkashfu Shehk Ponda kwa maneno ya kejeli na matusi, tukilinaganisha anachopigania Shehk Ponda kuhusu uislam na hiki anachokishabikia huyu jamaa ni nani hasa aliye mpuuzi na mwaribifu wa Mila na Desturi zetu, kama ni muandaaji ni vizuri akachukua na watoto wake au wajukuu zake wakaonyesha vichupi mbele yake.

Wewe funga break, huyu mhuni ana watoto na mke?? labda kama unamaanisha watoto wa dada yake
 
maongezi yake yamekaa kitapeli eti mpaka leo wanaandaa zawadi na mashindani ijumaa baadae oooohh tutamuendeleza kielimu cjui nini yaani hajui analolisema
 
Anaongea kupitia clouds fm radio kwamba yeye ndo anaanda mashindano ya miss Ilala! Kumbe ndo maana huwa simwelewi... Kumbe yupo kwenye mambo haya!

Nimemsikia pia, ila usisahau kuwa anatape opportunities ingawa naamini hizo ndio kazi zinazomfaa zaidi kuliko siasa
 
Alimkashfu Shehk Ponda kwa maneno ya kejeli na matusi, tukilinaganisha anachopigania Shehk Ponda kuhusu uislam na hiki anachokishabikia huyu jamaa ni nani hasa aliye mpuuzi na mwaribifu wa Mila na Desturi zetu, kama ni muandaaji ni vizuri akachukua na watoto wake au wajukuu zake wakaonyesha vichupi mbele yake.

anachokifanya sheikh ponda ktakuja kuleta maafa wakat anachokfanya Le Mutuz knaleta burudan..

Put this in your head "watanzania watatu wajinga kuliko wote duniani ni NAPE NNAUYE,MWIGULU NCHEMBA na SHEIKH PONDA"..
 
Back
Top Bottom