Hah ! Hah ! Tukistaajabu ya Musa Tutaona ya CCM iliyo na kiburi kwa kurudisha huyo huyo ''aliyejisafisha'', maana CCM masuala ya makinia walisema wao ndiyo walipiga kelele sana kuliko wapinzani.
Na kwa hili watasema jamaa anafaa sana kushiriki ktk mazungumzo yanayokuja na BARRICK manake hawawezi kumtegemea Waziri wa Sheria na Katiba Prof. Palamagamba Kabudi awe ''mchezaji-kiraka wa kila namba/wizara'' pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali kuongoza ''mazungumzo ya muafaka na BARRICK'' bila uteuzi wa ''dharura'' wa waziri wa wizara ya Madini na Nishati ''mahiri'' kama William Ngeleja.