William Mganga Ngeleja kuteuliwa Uwaziri Madini na Nishati

William Mganga Ngeleja kuteuliwa Uwaziri Madini na Nishati

Hah ! Hah ! Tukistaajabu ya Musa Tutaona ya CCM iliyo na kiburi kwa kurudisha huyo huyo ''aliyejisafisha'', maana CCM masuala ya makinia walisema wao ndiyo walipiga kelele sana kuliko wapinzani.

Na kwa hili watasema jamaa anafaa sana kushiriki ktk mazungumzo yanayokuja na BARRICK manake hawawezi kumtegemea Waziri wa Sheria na Katiba Prof. Palamagamba Kabudi awe ''mchezaji-kiraka wa kila namba/wizara'' pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali kuongoza ''mazungumzo ya muafaka na BARRICK'' bila uteuzi wa ''dharura'' wa waziri wa wizara ya Madini na Nishati ''mahiri'' kama William Ngeleja.
"Mimi ndiye rais Ngeleja nimekuteua kapige kazi, achana na maneno ya mitandoni".
 
Published on 12 Jun 2011
Tanzania's Energy and Minerals Minister Hon. William Ngeleja speaks about the country's energy situation, Hilary Clinton on MCC agreement and partnership with Symbion who have provided state of the art machines to increase electricity power generation to the national grid.


Source: Muhidin Michuzi blog
 
Angelikataa pesa wakati anapewa na Rugemalira ningemuona mzalendo na sio kuzirudisha baada ya miaka.What if kusingekuwa na kesi hii angezirudisha?

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Angelikataa pesa wakati anapewa na Rugemalira ningemuona mzalendo na sio kuzirudisha baada ya miaka.What if kusingekuwa na kesi hii angezirudisha?

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Mkuu wakati wa uchaguzi watu wanauza nyumba ili kufanikisha kampeni sasa ndiyo ninafahamu kuna faida sana bungeni
 
Ni msukuma huyo na ameambiwa arudishe apewe uwaziri huu ukabila hautaicha TZ salama mda utasema tu
 
Anapaswa kukamatwa na kusekwa lupango. Sheria zipo wazi. Uwaziri tena asahau. Labda uwaziri wa sketi ya mkewe!
Eh wewe punguza ukali kidogo wa maneno

Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
 
Kurudisha kwake pesa za Escrow sio kujisafisha, bali ni uthibitisho kuwa zile pesa niza Umma na pia zile.pesa niza rushwa. Kwahiyo moja kwa moja Ngeleja hafai kuwa kiongozi wa umma labda awe waziri wa nishati uko gerezani (ukonga, keko au segerea)
 
Back
Top Bottom