William Miller: Kama Yesu hakujua Hisabati au kutafsiri mambo bora angalikaa Kimya. Mbona siku ya mwisho wa dunia inakokotoleka kirahisi?

Wewe....hivi kweli na wewe unajiita binadamu kama mambo madogo haya huyajui..

Kalenda hii yaani mf..leo ni tarehe 31/10/2018 ni Gregorian Calender ....

Ni Kalenda ya Kanisa Katoliki ..kwa kirefu inaitwa Pope Gregory Calender...(Gregorian)

Mkuu:

Wasio wakatoliki hawaelewi kwamba:

1.Ukatoliki ni sawa na maji kiasi kwamba ukwepa kuyaoga utayanywa tu.

2.Ukatoliki ni sawa na hewa ya Oxygen, ukijidai kutoivuta utapelekwa Mochwari within no time.

SASA angalia msabato kama huyo alikuwa hajui kuwa Kalenda inayotumika ina historia ya ukatoliki.

Tukiwaambia kwamba Methodolojia za Kisayansi nyingi muasisi wake ni St.Thomas Aquinas au kwamba lile somo la Genetics muasisi wake Gregory Mendel alikuwa Padri wa Kikatoliki hawawezi kuamini.

Kwa hiyo sisi tuendelee kuchapa kazi ya utume na wao wakalie kutafuta picha za sanamu tunazoziheshimu.
 
Miller hakuanzisha usabato. Walioanzisha SDA ni wakina Joseph Bates, James White na Ellen White na wengine.
Wewe naona unacheza ngoma ambayo huijui....

Yani unadhubutu kusema William Miller haanzisha usabato wakati huo huo mnatumia unabii wake potofu kama msingi wa mafundisho ya SDA
 
Anawaombea watenda dhambi kwa Baba yake. Mtu anapoomba msamaha wa dhambi, Yesu anayapeleka maombi hayo kwa Baba yake kwa ajili ya msamaha.
Yesu ni Mungu! Anafanya kazi ya kumuombea nani...?


Au ndio ile kufuru ya Wasabato kumfananisha Yesu na Makaika Mikaeli...
 
Unashadadia sana ukatoliki bila kujua unaabudu nini? Kwa taarifa yako Mungu hakuanzisha ukatolik, ni mfalme mpagani constantine ndiye aliyeleta ibada ya Jumapili na mafundisho mengine ya kipagani. Na wewe eti unajisifu kwa kuwa mkatoliki, hujui unachokiamini. Nina mambo mengi ya kusema lakini sitaki kuwakwaza watu hapa na imani zao, ila unataka kuniprovoke!
 
Wewe huwezi kuelewa...maana unataka direct quote ya tarehe...Soma na uelewe, na bila roho mtakatifu huwezi kuelewa, unabii hauji direct kama unavyotaka wewe...
Mimi ndio ninakuambia hakuna kitu kama hicho...


Hakuna aijuae siku wala saa....msituletee usangoma wenu hapa
 
Hahaha...


Nimeshakuonya mara kibao...usidhani wote ni mbumbumbu kama wewe....
 
Hahaha...


Nimeshakuonya mara kibao...usidhani wote ni mbumbumbu kama wewe....
Usitukane, jibu hoja kwa hoja...naona hujui maana ya mbumbumbu, ungekuwa unajua maana yake usingesema hivyo, ungejibu hoja. Lakini sasa unakimbilia kutukana. Au tuseme wewe ndiye mbumbumbu?
 
Ukatoliki ni upagani umegeuza dini zote kuwa za kipagani!
 
Kama inajulikana kuwa siku moja ni miaka 1,000 basi itakuwa siku (365 x 1,000 x 1843)
 
Mimi kila nikisikia jina liitwalo yesu basi moja kwa moja hujiwa na sura ya bwana Brian decon yule mzungu aliyeigiza filamu ile sijui. ubongo umeathirika au wote tusomao Uzi huu.
 
Ulianza vizuri kwa kusema huna nia ya kukashifu Dini au uchochezi lakini ulivyomaliza thread yako ukamalizia kwa kuandika upumbavu.sema ulikuwa na lengo LA kuwakashfu Waadventista wasabato.. Kitabu gani cha Ellen G. White kinasema Anapitia majina ya wasabato pekee?? Na wapi pameandikwa Anashuka Mdogo mdogo na sasa yupo chumba cha patakatifu pa patakatifu? Unajua utofauti wa kuhama chumba na Kushuka?? Na wapi Ellen Gould White kaandika Kristo Anakuja kuchukua wasabato pekee yao?? Sikutukani ila nakusaidia wewe ni mpumbavu kama walivyo wapumbavu ktk Zama zote.
 
Huu uwezekano wa Pope kuja siku kulazimisha watu wote waabudu siku moja ya jumapili unautoa wapi?yaani itokee tu siku Papa aamuru kwamba sote Wakristo siku ya kumuabudu Mungu iwe j'pili?

Labda tuseme itabidi iwe vita sasa kwamba anakamatwa msabato kule aliko j'mosi akiabudu kisha analazimishwa kwamba kuabudu ni kesho j'pili utake usitake!hivi kwa akili kidogo tu unadhani dunia hii ya sasa hili litawezekana?au sijaielewa point yako vizuri!

I don't know!
 
Kwa maelezo ya Miller na kwa kadri ya “ufunuo wake” na kwa kanuni yake (ya Kitabu cha Daniel) na kwa kusoma historia, aliweza kwa hakika kwa madai yake kuona kuwa mwaka wa kuanza kuhesabika hizo siku 2,300 ambazo ni sawa na miaka 2,300 ilikuwa mwaka 457K.K. Kwa hiyo, kwa kutumia alichofanya ni kuchukua huo mwaka 457BK ns kutoa miaka 2,300 na hivi kupata jibu la 1843 kwamba ndiyo ingalikuwa ni muda wa kutakaswa “patakatifu pa patakatifu.” Hata hivyo baadaye tarehe ilisogezwa mbele hadi tarehe 22 Oktoba 1844.

SWALI NI:

Kwa graph hii hapa juu, yeye Miller alitumia kigezo kani kuanza kuhesabia 457 K.K?
 
Atakwambia kasome Ufunuo 13 imeeleza kila kitu...au hujui roho ya kinabii


Hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…