Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Kuna barua inazunguka inayoonesha kuwa ni ya William Ngeleja aliyekuwa mbunge wa Sengerema akilalamikia zoezi la kura za maoni jimbo la Sengerema.
Katika barua hiyo Ngeleja analalamika kuwa mgombea na mfanyabiashara Hamis Tabasamu aliyeshika namba moja kwenye mchakato huo wa kura za maoni aligawa rushwa ya laki moja moja kwa wajumbe ili achaguliwe kwenye mchakato huo.
Kama hiyo barua ni ya kweli basi CCM inanuka kwa rushwa.
Anafanya biashara ya mafuta anamiliki masheriTabasamu anafanya biashara gani?
Duh! Sheli zake zinaitwaje? Je anazo biashara nyingine au ni sheli pekee?Anafanya biashara ya mafuta anamiliki masheri
Tabasamu alitoa laki kwa kila mjumbe, Ngeleja akatoa elfu 30 kwa kila mjumbe. Wajumbe wakaona hizi ni dharau yaani rushwa ya elfu 30 iliyokuwa inatumika 2015 bado unataka kuitumia 2020, wakapiga chini Ngeleja.Mmoja ametoa rushwa kubwa kuliko mwingine. Ila, wote walitoa rushwa.
Umeeleweka mjumbe, kumbe jamaa mjinga kajichinja mwenyewe hlf anaanza kulalamaNgeleja aache Nongwa......Yeye badala ya kutoa 200,000 alikataa akatoa 50,000 na Maji sijui, Mwenzake Ka-Mtaimu akatoa 100,000.
[emoji23][emoji23][emoji23]hakuzingatia mfumuko wa beiTabasamu alitoa laki kwa kila mjumbe, Ngeleja akatoa elfu 30 kwa kila mjumbe. Wajumbe wakaona hizi ni dharau yaani rushwa ya elfu 30 iliyokuwa inatumika 2015 bado unataka kuitumia 2020, wakapiga chini Ngeleja.
Ngeleja atafute kazi nyingine, uzuri bosi wake Rostam Aziz amerudi kwenye system.