minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Ngeleja ndiyo aligawa Rushwa lakini wajumbe wakala wakamtosa kaamua kusambaza barua ya uongo fitna kumchafua ili wakose wote kuna ujinga utafanyika kuwakomoa wengi majina yasirejee toka DodomaKuna barua inazunguka inayoonesha kuwa ni ya William Ngeleja aliyekuwa mbunge wa Sengerema akilalamikia zoezi la kura za maoni jimbo la Sengerema.
Katika barua hiyo Ngeleja analalamika kuwa mgombea na mfanyabiashara Hamis Tabasamu aliyeshika namba moja kwenye mchakato huo wa kura za maoni aligawa rushwa ya laki moja moja kwa wajumbe ili achaguliwe kwenye mchakato huo.
Kama hiyo barua ni ya kweli basi CCM inanuka kwa rushwa.