Uchaguzi 2020 William Ngeleja: Hamis Tabasamu aligawa rushwa ya Tsh. 100,000 kwa wajumbe ili achaguliwe

Ngeleja ndiyo aligawa Rushwa lakini wajumbe wakala wakamtosa kaamua kusambaza barua ya uongo fitna kumchafua ili wakose wote kuna ujinga utafanyika kuwakomoa wengi majina yasirejee toka Dodoma
 
Ngeleja atulie.....hata kama kazidiwa kete......pia itategemea baba kaamkaje.....yeye na Tabasamu wanaweza pia wasipite.....
Kwanza hachoki......?.....apishe na wengine waongoze bana......
 
Ngeleja ni wivu umemzidi kaamua kumharibia Tabasamu kwa makusudi
 
Watia nia wote huko kwa ngeleja walitoa Rushwa ingawa zilitofautiana kama vipi wafutwe wote uchaguzi urudiwe upya
 
Ninachojua ukimjua fulani ni Mchawi basi kuna Uwezekano Wewe ndiyo ukawa Mchawi Mbobezi na Uliyetukuka. Ngeleja asitufanye Watu Mazuzu!!!
 
NINI TABASAMU HATA ANGEKUJA UCHUNGU TUNHEMPAAA SIO NGELEJAA KHA AJASHIBAA
 
KUNA VID IMESAMBAAA ...HIOO ATAIJIBU NGELEJA KIKAONI
Ninachojua ukimjua fulani ni Mchawi basi kuna Uwezekano Wewe ndiyo ukawa Mchawi Mbobezi na Uliyetukuka. Ngeleja asitufanye Watu Mazuzu!!!
NA ZILE HELA WALIZO..NTAMALIZIA TAR 9
 
Ngeleja ndiyo aligawa Rushwa lakini wajumbe wakala wakamtosa kaamua kusambaza barua ya uongo fitna kumchafua ili wakose wote kuna ujinga utafanyika kuwakomoa wengi majina yasirejee toka Dodoma
Kama wote walitoa rushwa uongo uko wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…